DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Niambie Utofauti wao Mimi nitakuambia Usawa waoNot at all
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie Utofauti wao Mimi nitakuambia Usawa waoNot at all
Ni kweli Mtume Muhammad ﷺ amefariki na hajafufuka na hatofufuka mpaka siku ya kiama na atakayemfufua ni Allah na si yesu ambaye ni binadamu kama yeye.
Qur'an ni maneno ya Mwenyezi Mungu (Kalamullah) yaliyoteremshwa kwa Mtume Muhammad ﷺ kupitia Malaika Jibril.
Qur'an ilishuka kutoka Lauhul Mahfudh (Ubao uliohifadhiwa) na iliteremshwa hadi Baytul 'Izzah (Nyumba ya Heshima) katika mbingu ya kwanza. Hii ilikuwa hatua ya kwanza ya kuteremka kwa Qur'an. Baada ya hapo, Qur'an ilianza kushuka kwa hatua kwa hatua kwa kipindi cha miaka 23 kwa Mtume Muhammad ﷺ, ikitekeleza matukio na mahitaji ya jamii. Sehemu kubwa ya Qur'an ilishushwa Makkah (aya za Makkiyya), ambazo zilijikita katika imani, uongofu, na kumtukuza Mwenyezi Mungu. Baada ya hijra, aya nyingi za Madina (aya za Madaniyya) zilitokea, zikihusiana na sheria, haki, na utawala wa kijamii. Hivyo, Qur'an ilishuka kwa hatua kutoka Baytul 'Izzah na kumfikia Mtume ﷺ, ikifundisha maadili na sheria za Kiislamu.
Lakini yesu si amesha jua kabisa fulani ataingia motoni au bado hajajua? Maana ulisema hata kabla yuda hajamsaliti alikuwa amesha juaNaam. Ukimpokea Kristo utaokolewa. Haijalishi umefanya dhambi gani na kwa muda gani, ni anytime t, wala haihitaji process, ni instantly, palepale ushakuwa forgiveness, ni usitende dhambi tena, na Roho Mtakatifu atakuongoza from there uipate hiyo neema ya kuepuka kurudi nyuma. Wote tuseme Amina 🙏.
Yeye Mwenyewe Alisema Haijui Siku ya Qiyama wala siku ya Kuja kwakeLakini yesu si amesha jua kabisa fulani ataingia motoni au bado hajajua? Maana ulisema hata kabla yuda hajamsaliti alikuwa amesha jua
Dufu ni dhambi mbaya sana Na hata hao wanao piga dufu wanajua na hzo dufu zinapigwa huko vichochoroni sio msikitini..Kuna tofauti ipi kati ya dufu na kwaya?mbona kishki, mazinge na Sulle wana magari ya bei mbaya?
Sasa wana muita Mungu alafu hajui siku ya kuja kwake na hata siku kubwa haijui.. haifai kumuita MunguYeye Mwenyewe Alisema Haijui Siku ya Qiyama wala siku ya Kuja kwake
Yesu Kuwa Mungu haiwezekani..Sasa wana muita Mungu alafu hajui siku ya kuja kwake na hata siku kubwa haijui.. haifai kumuita Mungu
Kwenye miziki yenu ya Mwaipaja, gozbert hayo maneno yapo? Sana sana hazina tofauti na miziki ya shetani kuiongelea dunia na ufahari wake mfano Ipo siku ya good luck gozbert, oludumare inapigwa mpka night club, nyingine inaitwa Upo single 😁KUhusu kusali Yesu alitoa muongozo.
Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.] Utupe siku kwa siku riziki yetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa sisi nasi tunamsamehe kila tumwiaye. Na usitutie majaribuni [lakini tuokoe na yule mwovu]. Luka 11:2-4
Kinacho wachanganya ni ile miujiza Kutoka kwa Mungu huenda Hata Mussa wangemuita Ni Mungu..Yesu Kuwa Mungu haiwezekani..
Labda kama Watakubaliana Na Mimi Yesu Awe DEMIGOD
Na Kwa bahati Mbaya Hakuna Ushahidi wa Kihistoria Kuhusu Miujiza hiyoKinacho wachanganya ni ile miujiza Kutoka kwa Mungu huenda Hata Mussa wangemuita Ni Mungu..
zamani watu walikuwa wanatamani sana kumuona Mungu Ndo maana kila Chenye miujiza waliita ni Mungu
Umeona umejibu vzuri sana so tuseme tu mnahangamia kwa kuyakosa maarifa..Unauhakika wakristo hawapeleki misaada kwa wahitaji,na kuhakikishia hakuna waumini wanaotoa msaada kwa wahitaji kama wakristo,tafuta charity katika eneo ulipo utakuta karibia zote zina wakristo.
Pia tambua ukristo unafundiaha kusaidi wahitaji na wenyw njaa.
Uzuri wa kristo ni watoaji sana wanatoa hadi kuzidi,sio waislamu ibada hata 10k kuifiksha kazi msikiti wanachangisha hela ya luku au bili ya maji hadi kwa wapita njia.
M naona kinachokutesa wewe ni wivu tu..sadaka huwezi mpangia mtu apeleke wapi..tambua wakristo wanafundishwa sadaka ipelekwe katika madhabahu wanayoabudia sio kosa lao ni maagizo yao.
Na wewe fata yako kasaidie masikini hakuna alokukataza.
Mziki utaimbwa duniani mana pepo ya wakristo ni kuimba na kusifu neema za Mungu sio kulombana kama dangulo la ala.
hzo pesa mnazo wapa wale matajiri mle kanisani wale Ndio wenye njaaa?ukristo unafundiaha kusaidi wahitaji na wenyw njaa.
Biblia ndo inasema usaidie wenye uhitaji wewe unasema usimpangie mtu pa kupeleka hamuoni kama mnapishana na biblia yenu au hamuiamini?sadaka huwezi mpangia mtu apeleke wapi..tambua wakristo wanafundishwa sadaka ipelekwe katika madhabahu wanayoabudia sio kosa lao ni maagizo yao.
Hauwezi kukuta kanisa fulani limepeleka msaada kwa wahtaji zaidi utakuta ni taasisi flani imefanya charity yani ni project na ni kwa lengo la kupata Grants au kujitangaza sio kwa imani yenuUzuri wa kristo ni watoaji sana wanatoa hadi kuzidi,sio waislamu ibada hata 10k kuifiksha kazi msikiti wanachangisha hela ya luku au bili ya maji hadi kwa wapita njia
Hawezi kuelewa wamesha lishwa unga wa ndereNa Kwa bahati Mbaya Hakuna Ushahidi wa Kihistoria Kuhusu Miujiza hiyo
Wapi aliambiwa aandikeKwa sababu Mohammad anasema aliambiwa achukue kalamu aandike, naye akasema kuwa ataandikaje kwa kuwa hajui kuandika (Mohammad hakujua kusoma wala kuandika)
Kama sifa zipi?Kuna aya katika Quran zinazoelezea sifa za Allah, ambazo kwa kaduri ya biblia ni sifa za shetani/ibilisi.
Nani amesema kuwa kuna ubao ulioteremshwa?Habari ya kusema eti kuna ubao ulioteremshwa, ni uwongo.
aliekuambia kuwa ni mistari sahihi nani?Nimechukua mistari niliyoona iko sahihi tu.
Swali langu ni:- huyo Muhammad amekaa milele.4. Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos) na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Yesu alisema:
Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.
YESU wa Quran sio YESU wa wakristo....Mnangangania Vitu visivyo vyenu kila siku.MUhamad ameua watu zaidi ya 800 kwa mikono yake mwenyewe, ajafanya muujiza wowote na ameleta mambo tofauti na yale ya YESU.kuna mpaka haya za Quran zina mpa upendeleo yeye kama yeye.MUngu gani huyo ???Kama unamzungumzia yesu ambaye alifia msalabani na ambaye yeye mwenyewe ni mungu basi ni kweli ulichokisema.
Lakini tukimzungumzia Yesu ambaye hakufa msalabani na wala yeye si mungu basi uliyosema si sahihi