Ni kiburi na matokeo ya kupitishwa bila kupingwaKwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba...
CHADEMAWatanzania sometimes tunahemkwa sana. Ndugai kapewa majina wa wabunge na mamlaka ya uteuzi i.e Tume ya Uchaguzi. Ili asiwatambue, mamlama hiyo hiyo inabidi impe taarifa. Na tume haiwezi kufanya hivyo mpaka ipewe taarifa na chama. Hayo yamefanyika? Kama bado tuwe wapole mpaka yafanyike.
Walompigia kura kuwa spika hawakujua?!
Kwani hiyo kinga imeandikwa kwenye misahafu ya dini?Hv ww ni mtt??.hujui kama huyo mbilikimo wenu amepewa kinga yakutoshtakiwa ndomana anatamba???
Nilisoma mahali huyu huyu AG anaionya CHADEMA isichukue hatua zozote dhidi ya COVID19 maana eti ni wabunge halali!!!Yaani eti na Nchi hii tuna Attorney General tena Professor kabisa!
Mkuu, mahakama ipi?!Mnaniudhi sana kama mnajua yote haya ila hamna ujasiri wa kuwaburuza watu hawa mahakamani.
Taarifa mpya inaonyesha kwamba Job Ndugai ndio Spika duni zaidi wa bunge kwenye nchi za jumuiya ya madolaOngeza sauti
Inashangaza sana Ndugai anapogeuka kuwa mtetezi ya watu aliokuwa hawajali huko nyuma.
alishawatimua Bulaya na Mdee kwa zaidi ya mwaka , eti leo kawa mtetezi !Inashangaza sana Ndugai anapogeuka kuwa mtetezi ya watu aliokuwa hawajali huko nyuma.
Inasikitisha sana kuona bado kuna akili humu JF zinatetea huu ujinga.alishawatimua Bulaya na Mdee kwa zaidi ya mwaka , eti leo kawa mtetezi !
Sasa mbona mnasema wameapishiwa gereji?!
Shetani ili akunase vizuri, kwanza hujifanya malaika.alishawatimua Bulaya na Mdee kwa zaidi ya mwaka , eti leo kawa mtetezi !
Hiyo laana iwe kwa wanawake nawana wa wanawake ukimaanisha nini mzee, kwani wanawake na hao wana wa wanawake wanamakosa gani, wanawake ni mama nadada zetuShetani ili akunase vizuri, kwanza hujifanya malaika.
Alishindwa kumtetea Lisu wakati akiwa kwenye hatari kifo, leo eti awe mtetezi wa wabunge wa upinzani.
Nina hakika ndugai ni mfano mxuri wa shetani katika umbile la mwanadamu. Mungu wetu mwenye nguvu, tunaomba laana ya shetani huyu iwe juu yake na wana wake na wana wa wana wake mpaka kizazi cha kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app