Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?


That is my point, taarifa rasmi ziende halafu tuje kulalamika kuhusu kuvunjwa katiba
 
Mimi nafikir ubunge kama watawatoa huko bungeccm haya wasipo watoa sawa chadema kama serekaliccm ilitegemea cdm wataandamana bungeniccm ilimpate muda wa kuwatesa nakubambika kesi mmekwama kamati kuu imekwisha maliza kazi kiukukweli wamefukuzwa sasa wapo bungeniccm kwamgongo wanani kazi kwenu hao siowanachama wa chadema toka 25/11/2020 saa 3 usiku
ASILAZIMISHWE MUUSLAM KULA NGURUWE
 
Mnaponifurahisha ni confidence wakati viazi section/article literally they mean the same and can used interchangeably. Subsection is anything which falls under the same article/section for the purpose extrapolation.

Sasa mtu mwenyewe ata simple meaning of words inakusumbua utaweza kujua rules zinazotumika kwenye maswala ya judicial creativity pale ambapo kuna utata wa maandishi kwenye sheria.

Kiazi wahed.
 
Kwa majibu uliyotoa hutakiwi kuchangia hii mada. Kaa kimya usipoteze muda wa watu. Ndio maana nimekushangaa kusema kesi ya wabunge wa Cuf ni precedence kwenye hii ishu wakati facts hazifananai. Ujuaji wa kipumbavu.
 
Alipoenda kutibiwa India akakaa sana huko nina wasiwasi na whahindi walichofanya, kuna fyuzi ziling'olewa kwa huyu baba. Yaani hana hata aibu. Lakini haya mambo yana mwisho
Kijana, jitahidi kujenga hoja, NEVER criticize. Hatuhitaji personal attack hapa jukwaani.
Ukiambiwa uthibitishe kuwa kweli fuse zilozong'olewa toka kichwani mwa JN, hutoweza kufanya hivyo.
 
Kwa majibu uliyotoa hutakiwi kuchangia hii mada. Kaa kimya usipoteze muda wa watu. Ndio maana nimekushangaa kusema kesi ya wabunge wa Cuf ni precedence kwenye hii ishu wakati facts hazifananai. Ujuaji wa kipumbavu.
Can you differentiate; what are the distinguishing factors from the two? Enlighten us.
 
Mkuu jua kuwa Mamba sasa ananjaa kali ya kula watoto wake. Inaskitisha sana!!Ameachama domo lake samaki na watoto wake anawameza awezavyo na ataendelea kumeza mpaka aone maji anayoishi humo yamegeuka damu. Yasipogeuka hivyo atameza mpaka viumbe wengine sasa...

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ile kauli ni taarfa kuwa they burning the chemicals till they react. Ile kauli ni ya kibabe haijawahi kutokea!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Sijakuelewa, mbona mafumbo kibao?
 
Kwanini sasachana cha wanasheria au gao law school wasifungue kesi ya kukiukwa katiba?
 
Unakuza mambo bila sababu yoyote ya msingi, umeshasema case ya CUF itatumika kama precedent, na kule mwanzo ulisema unataka kesi iliyotumika kama precedent, nimekupa, lakini bado unakuja na maneno mengi ya kujichanganya bila sababu.

Basi niambie ni sheria gani inayompa Spika mamlaka ya kupinga maamuzi ya KK ya Chadema?

Tena uniambie, huoni Spika kugoma kwake kuwaondoa hao wabunge kutasababisha tatizo jingine, kwani hairuhusiwi mbunge asiwe huru (bila kuwa kumuwakilishi wa chama cha siasa)?

Unataka mahakama ijiingize kwenye huo mgogoro wa kitoto?

- Article 83 inasema mahakama ndio chombo cha kuamua, na imeshawahi kuamua kwenye issue ya wabunge wa CUF, but mpaka uende mahakamani lazima kuwe na mgogoro kati ya wanachama na chama chao, Chadema hakuna huo mgogoro; na hapo Spika hausiki.

Spika kazi yake ni formality tu akishapelekewa taarifa na chama husika mtu flani sio tena mwanachama wao kwa maandishi hatakiwi kuhoji kwa nini, anatakiwa kuwaondoa tu, kama anayo hayo mamlaka ya kuhoji ameyapata wapi, nipe sheria?

Sheria ukiisoma siku zote lazima ujue na kuitafsiri, sio unaisoma tu halafu unaishia hapo.

Nina maswali mengi tu ya msingi ya kukuuliza ila naona napoteza muda bure, vyema ujiamini iache akili yako ifikirie, kusema unawasubiri magwiji wa Constitutional Law mahakamani waka argue kuhusu issue iliyo wazi kama hii ni kujidumaza akili.
 
Mtu hajui hata precedence inakuwaje ndio unahangaika kumuelewsha!
 
Usilete uchangu wa madoa hapa. Soma elewa kilichoandikwa. Umeleta uzi mzuri hakika kwa bahati mbaya. Umeishauleta! Acha kuuharibu uzi wetu!
Naomba ujiheshimu kuanzisha uzi sio sababu ya kuniletea dharau na upuuzi
 
Ndugai na Mwenyekiti wake wapo juu ya sheria cha ajabu kabisa huu ubabe unafanywa na wakristo wenzetu ambapo wanashinda makanisani na macamera kibao huku matendo yao ni kishetani kabisa
 

Spika Ndugai inaonekana ana matatizo ya kiakili au kixaikolojia.
Tanzania tusipoangalia Ndugai na Magufuli wanatengeneza Bomu la Nuklia na litakaporipuka nji yote itaangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…