Je, kila nafsi itaonja mauti?

Unamfahamu sahih bukhari?
 
Ivi ni kwamba haipo au ni kwamba mimi na wewe hatujui kama haipo?
 
Una nukuu barua za paulo kujenga hoja zako wakati humwamini?
 
Sio lazima.

Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli.

Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa lakini sasa ukizungumziwa basi watu watautazama kwa macho yenye walakini kana kwamba ni habari ya uongo.
Uhakika bro - private consultant of the nation
 
Mi ninavyo juwa parapanda lita pulizwa Mara mbili

Mara ya kwanza watu wote watakufa Mara ya pili watu wrote watafufuka.
Ataepuliza nae atakufa au mbona story ya uongo kabisa hii
 
niulize chochite kuhusu utatu nami ntakujibu.
 
hapana upo kwenye biblia soma waraka wa 1 wa yohana sura ya 5 msitari wa 8...inasema kuna watatu washuhudiao mbingu Baba, Mwana na Roho mtakatifu ...

Andiko kuhusu mashahidi watatu wa mbinguni (1 Yohana 5:7 KJV) si sehemu halisi ya Agano Jipya"

"The Interpreter's Dictionary of the Bible," Vol. 4, uk.711, Abingdon Press.

1 Yohana 5:7 katika KJV inasomeka hivi: “Kuna watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu; na watatu hawa ni umoja; hii ni tafsiri ambayo hakuna dalili yoyote kuwepo kabla ya mwisho wa karne ya nne

The Interpreter's Dictionary of the Bible, Vol. 4, uk. 871, Abingdon Press.

1 Yohana 5:7 katika Textus Receptus (iliyomo katika KJV) inafanya ionekane kwamba Yohana alikuwa amelifikia fundisho la utatu katika hali ya wazi ('Baba, Neno, na Roho Mtakatifu'), lakini andiko hili ni la nyongeza kutoka kwa mfasiri kwa kuwa hakuna hati halisi ya Kigiriki iliyo nayo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…