Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #61
Limitations kama zipi hizo, embu tusaidie kidogo tupate maarifa naona una madini kweli kweli.Uko sahihi lakini fact is ukipambana ukavunja baadhi ya limitation mliwekewa kama familia au ukoo, unainuka mazima.
Ni bahati Tu na kuwa na Wazazi wakali, na MUNGU akiamua kuwa hivyoHabari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.
Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.
Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.
Karibuni kwa michango yenu.
Ni kweli bosi wewe fikiria baba yake miaka hiyo alikuwa Singida huko, ni nini kikubwa kilicho mvutia akake kule chaka hivyo, wengine walienda Tabora na kwingineko.Yaah ndo ivo mzee, ndo hao kina Mo, baba zao walipiga dili chafu/safi ili vizazi vyao viishi vyema.
Hata huku mitaani wazee hao wapo, japo sio wengi.
Kumbe haya mambo ya nyota yana ukweli? Na level kabisa ?tambua nyota yako hipo kwenye level gani kwanza
Ni kweli Ila unashangaa unatoboa π unaiona national cake Ile hata haujafaidi vyema matunda yako then una die at climax age..Uko sahihi lakini fact is ukipambana ukavunja baadhi ya limitation mliwekewa kama familia au ukoo, unainuka mazima.
Kwamba ni wateule wa Mungu kama ilivyo taifa la Israeli.Ni bahati Tu na kuwa na Wazazi wakali, na MUNGU akiamua kuwa hivyo
Hili umesema wewe Ndugu yangu, Mimi sikua huko kabisaKwamba ni wateule wa Mungu kama ilivyo taifa la Israeli.
una mfahamu nabii suleimani ndio nyota yenye crownKumbe haya mambo ya nyota yana ukweli? Na level kabisa ?
Sadaka Ni SoMo pana Sanaaaaa na inatolewa kwa level tofauti tofauti e.g Kuna sadaka ya damu ie. Mnyama, binadamuKwa sababu hutoi sadaka sio
Pole sana mkuu nakumbuka ulitushirikisha juu ya ajali hiyo ila tunashukuru kuwa unaendelea vema na mdogo wako. Dunia ina siri nyingi sana.Ni kweli Ila unashangaa unatoboa π unaiona national cake Ile hata haujafaidi vyema matunda yako then una die at climax age..
Kabla sijapata ajari hii ilio niweka ndani miezi mitatu na ushee Sasa Kama kesho napata ajar usiku huo niliota ndoto nafanya mtiani wa CHEMISTRY WA FORM FOUR nikiwa darasa moja na mdogo angu wa kiume toka Ni toke Kuna maswali yalinishinda nikawa nimemuomba anisaidie majibu akanipa nikawa na copy kwa speed na hofu kuu maana muda ulikua unataka kuisha baadae nikashituka...ndoto ilinifikilisha na sikumwambia mtu
Kesho yake nikapata ajari baada ya wiki mbili mdogo angu na yeye akapata ajari mbaya Sana ya barabarani
All in all currently Mimi na mdogo angu wote tunaendelea vyema na recovering
Ndio maana kuna familia nyingine watu wanazikwepa hata kusalimiana nao hasa asubuhi, kwamba mambo yake ya siku nzima yataharibika.Na ukichunguza familia nyingi zina maagano ya kichawi. Na wanandugu wana vijicho muda wote kurudishana nyuma na kuwangiana.!
Na hatari zaidi ukajichanganya ukaoa au kuolewa kwenye familia ya hivyo, aiseee na wewe utakuwa miongoni mwao
Nimeanza kutizama Maisha kwa maono tofauti πPole sana mkuu nakumbuka ulitushirikisha juu ya ajali hiyo ila tunashukuru kuwa unaendelea vema na mdogo wako. Dunia ina siri nyingi sana.
Ni kweli mkuu.Sadaka Ni SoMo pana Sanaaaaa na inatolewa kwa level tofauti tofauti e.g Kuna sadaka ya damu ie. Mnyama, binadamu
Kuna sadaka za Mali,mazao,pesa na sio lazima upeleke kanisani au msikitini..
Ni somo pana Sanaaaaa sadaka
Hii too much π mkuu kusalimiana tenaaNdio maana kuna familia nyingine watu wanazikwepa hata kusalimiana nao hasa asubuhi, kwamba mambo yake ya siku nzima yataharibika.
Ndio nampata nabii Suleimani alikuwa na mali sana huyu.una mfahamu nabii suleimani ndio nyota yenye crown
Ukitoka hapo utapiga hatua zaidi kwani umepata muda mwingi wa kutafakari maisha.Nimeanza kutizama Maisha kwa maono tofauti π
kwanini upo ivyo dah unafurahishaKwetu sisi wote vipanga.