Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Habari Wakuu.

Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara kubwa na mafanikio kede kede.

Kwa upande mwingine unakuta familia nyingine watu karibuni wote hawaja fanikiwa kielimu wala kiuchumi. Wana umasikini uliotopea.

Je, hizo familia zinazo kuwa na watu wengi wamefanikiwa ni kuwa wamebarikiwa au ni genetics au nini ndugu wajumbe.

Karibuni kwa michango yenu.
Ni bahati Tu na kuwa na Wazazi wakali, na MUNGU akiamua kuwa hivyo
 
Yaah ndo ivo mzee, ndo hao kina Mo, baba zao walipiga dili chafu/safi ili vizazi vyao viishi vyema.

Hata huku mitaani wazee hao wapo, japo sio wengi.
Ni kweli bosi wewe fikiria baba yake miaka hiyo alikuwa Singida huko, ni nini kikubwa kilicho mvutia akake kule chaka hivyo, wengine walienda Tabora na kwingineko.
 
Uko sahihi lakini fact is ukipambana ukavunja baadhi ya limitation mliwekewa kama familia au ukoo, unainuka mazima.
Ni kweli Ila unashangaa unatoboa 😊 unaiona national cake Ile hata haujafaidi vyema matunda yako then una die at climax age..

Kabla sijapata ajari hii ilio niweka ndani miezi mitatu na ushee Sasa Kama kesho napata ajar usiku huo niliota ndoto nafanya mtiani wa CHEMISTRY WA FORM FOUR nikiwa darasa moja na mdogo angu wa kiume toka Ni toke Kuna maswali yalinishinda nikawa nimemuomba anisaidie majibu akanipa nikawa na copy kwa speed na hofu kuu maana muda ulikua unataka kuisha baadae nikashituka...ndoto ilinifikilisha na sikumwambia mtu

Kesho yake nikapata ajari baada ya wiki mbili mdogo angu na yeye akapata ajari mbaya Sana ya barabarani

All in all currently Mimi na mdogo angu wote tunaendelea vyema na recovering
 
Kupanga Ni kuchagua.
Mfano umeoa mwanamke wa kimakonde, kila weekend Yuko kwenye ngoma na binti zako au vigodoro, unategemea hao binti zako wapate kazi CRDB?
Au wawe na biashara inayoeleweka zaidi ya kukaanga samaki?
Wakati wa kuoa ndio ujue unapanga destiny ya kizazi chako. Kama umeoa Marangu, mama mchakarikaji, anahimiza watoto waende kanisani, anacheki homework za watoto, mama Ni mcha MUNGU, ndani Kuna maelewano, mama sio Malaya Wala mlevi, watoto Wana discipline definitely lazima watoto kwenye hiyo familia wstafika mbali kimasomo, kibiashara na kimaadili.
Endekezeni ujinga kwamba mke Bora ni mwenye tako kubwa.
Shauri yenu. Unakuta MTU anasema eti Mimi Embezzler mke wangu ana tumiguu twembamba halafu Hana tako. Ulishamuona anakalia kifua?
Endekezeni kwenye mitako mikubwa akili ndogo utafikiri mtakula hayo mavi.
 
Ni kweli Ila unashangaa unatoboa 😊 unaiona national cake Ile hata haujafaidi vyema matunda yako then una die at climax age..

Kabla sijapata ajari hii ilio niweka ndani miezi mitatu na ushee Sasa Kama kesho napata ajar usiku huo niliota ndoto nafanya mtiani wa CHEMISTRY WA FORM FOUR nikiwa darasa moja na mdogo angu wa kiume toka Ni toke Kuna maswali yalinishinda nikawa nimemuomba anisaidie majibu akanipa nikawa na copy kwa speed na hofu kuu maana muda ulikua unataka kuisha baadae nikashituka...ndoto ilinifikilisha na sikumwambia mtu

Kesho yake nikapata ajari baada ya wiki mbili mdogo angu na yeye akapata ajari mbaya Sana ya barabarani

All in all currently Mimi na mdogo angu wote tunaendelea vyema na recovering
Pole sana mkuu nakumbuka ulitushirikisha juu ya ajali hiyo ila tunashukuru kuwa unaendelea vema na mdogo wako. Dunia ina siri nyingi sana.
 
Na ukichunguza familia nyingi zina maagano ya kichawi. Na wanandugu wana vijicho muda wote kurudishana nyuma na kuwangiana.!

Na hatari zaidi ukajichanganya ukaoa au kuolewa kwenye familia ya hivyo, aiseee na wewe utakuwa miongoni mwao
Ndio maana kuna familia nyingine watu wanazikwepa hata kusalimiana nao hasa asubuhi, kwamba mambo yake ya siku nzima yataharibika.
 
Back
Top Bottom