Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Na ukichunguza familia nyingi zina maagano ya kichawi. Na wanandugu wana vijicho muda wote kurudishana nyuma na kuwangiana.!

Na hatari zaidi ukajichanganya ukaoa au kuolewa kwenye familia ya hivyo, aiseee na wewe utakuwa miongoni mwao
Yes
Kuna watu Wana vijicho njia nzuri ya KUISHI na jamii za aina iyo Ni KUISHI KAMA HAUPO

ELEWA MAANA YA NENO KUISHI KAMA HAUPO..
 
Sawa sawa. Tupe ushuhuda mkuu
 
Hii ni vice versa ya kile aliandika mshana kuna familia zina laana. The same thing
 
Pole kwa ajali .

Ila mkuu bloodline haina uhusiano na destiny yako.

Mafanikio na maisha generally hutegemea maono (vision) ukiwa na uwezo wa kuitazama kesho yako unaweza kufanikiwa .

So usiamini mambo ya bloodline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…