Foolish fool!!!So what?Habarini wakuu!
Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!
Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.
CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?
Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!
Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.
Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.
Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.
Muda utaongea!
Tukae mkao wa kula.
Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
Unatumia id feki lakini utabiri wako ukiwa kweli huko mbeya, jiandae kuisaidia polisi!Yaani chadema wangejua wasingeng'ang'ania majimbo tajwa. Wangekubaliana wote. Waite press watangaze kufanya biashara nyingine na waachane na political entrepreneurship. Huu msamiati nikwa ajili ya wataalamu tu.
Nasema hayo kwa sababu kwa track iliyosasa siya kipinzani Tena.
Wangewatendea haki wananchi wao kwa kuiachia ccm ichukue bila hata kupiga kura. Wateue tu. Keisha.
Lkn mbeya itakuwa balaa. Sugu atauawa.
Hata Hashimu Rungwe nae asingeshindwa kukopa na kugharamia vitu kama hivyo huku wizara nyingi zikipata bajeti chini ya asilimi 50(iwapo nae asingejali) na angeweza kuchukua mpaka hela za wakulima wa korosho.
Mchukueni tu na tujue.
Kiongozi MWENYE HEKIMA NA BUSARA HAPATIKANI NA HASHINDI KWA HILA WALA NGUVU .
shinda MIOYO YA WATU kwa mapenzi yao NASIO KUSHINDA MIOYO YAO KWA NGUVU !!
aya upinzan ukishakufa, ni Faida gan itapatikana?.
Hatuna IQ kabisa yaani ukipima unapata -ve.Ila watz IQ zetu zina shida
Tutaishi kwa amani na utulivu nchini, tukitumia muda mwingi kujadili miladi ya maendeleo mkuu!Mchukueni tu na tujue.
Kiongozi MWENYE HEKIMA NA BUSARA HAPATIKANI NA HASHINDI KWA HILA WALA NGUVU .
shinda MIOYO YA WATU kwa mapenzi yao NASIO KUSHINDA MIOYO YAO KWA NGUVU !!
aya upinzan ukishakufa, ni Faida gan itapatikana?.
Kwa akili kama hii kwanini mzungu asiendelee kuchukua madini?Habarini wakuu!
Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!
Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.
CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?
Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!
Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.
Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.
Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.
Muda utaongea!
Tukae mkao wa kula.
Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
kwani Marekani wanapambana na nini?Babu yako na bibi yako wanateseka huko mbwinde kwa kukosa maji safi na salama.... Hata Madawa hospital hakuna then unashabikia chaguz za marudio.. Unashabikia upotevu wa 1.5T ,unashabikia uminywaji wa democracy, unashabikia torturing of opposition leaders... Shuleni ulifuata nn??? Since 1961 bado tunapambana na maadui watatu ujinga, maradhi na umaskini hadi Leo.. Lakin bado washabikia siasa chafu za ccm .....jiaangalie marambili mkuu... Utu ni muhimu kuliko
Ko ndo yameshika maendeleo ya nchi ya singonge mbele yan hawa vichaa bnHabarini wakuu!
Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!
Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.
CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?
Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!
Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.
Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.
Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.
Muda utaongea!
Tukae mkao wa kula.
Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
tatizo ugali tunaokulaIla watz IQ zetu zina shida