Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
- Thread starter
-
- #21
Ni ndoto ukimaanisha kwamba haiwezekani?Hahah ni ndoto hizo.
Lkn watoto wa maskini ndio wanaambiwa chukueni hiki kitambulisho cha umachinga mkachape kazi maana tatizo la ajira ni dunia nzima/serikali haiwezi kuajiri watu wote.
Kwani kutembeza Mitumba sio kazi? Au kwako neno Kazi unalitafsiri aje?Mimi sina kazi japo Nina degree
Ni mmachinga wa kutembeza mitumba
Wanakosaje kazi wkt watoa kazi ni baba/mama/uncle zao?Ni ndoto ukimaanisha kwamba haiwezekani?
Ee mkubwa watu na watu wao mjini hapaKumbe ndiyo tafsiri yake?
Ni kazi kabisa,Kwani kutembeza Mitumba sio kazi? Au kwako neno Kazi unalitafsiri aje?
Zile za kuokotwa jalalani ndio ajira.Kwani kutembeza Mitumba sio kazi? Au kwako neno Kazi unalitafsiri aje?
Ha ha haWanakosaje kazi wkt watoa kazi ni baba/mama/uncle zao?
Vitambulisho vya umachinga oyeeee.
Kwamba hawa ndio wenye majibu?Kawaiulize akina Regina lowassa, Mahita, Mwinyi na Kigoda BOT
Kuuza mitumba si kazi? Kazi ni nini?Mimi sina kazi japo Nina degree
Ni mmachinga wa kutembeza mitumba
najitahidi kukuelewaNdio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Watoto wa mwl.Nyerere hawana kazi.
Ana degree za ukuwadi labda.Zile Degree za Le mutuz zimekaaje? Au amejiajili kwa Kinje
Ni kaziKuuza mitumba si kazi? Kazi ni nini?
Ha haAmwache mtoto wake akuteue weweView attachment 1560304
Point kubwa sana hii mkuu.kila muntu ana karama yake
Ukimaanisha Scandinavian kuna haki sana?Labda watoto wa viongozi wa Scandinavia ndio hupanga mstari mmoja na watoto wa machinga