Mzee baba hua anasema unawezaje kumpa chakula mtoto wa jirani wkt mtoto wako wa kumzaa ana njaa?Labda watoto wa viongozi wa Scandinavia ndio hupanga mstari mmoja na watoto wa machinga
Hata kilaza Jesca John Pombe Magufuli ni DAS akiwaacha bila kazi vipanga waliokuwa wakimfunga tela pale UDOM.Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
DuhHata kilaza Jesca John Pombe Magufuli ni DAS akiwaacha bila kazi vipanga waliokuwa wakimfunga tela pale UDOM.
Badilisha title ya uziNi kazi
Ila Mimi nilikuwa nazungumzia white collar job.
Unasemaje huna kazi wakati ni mmachinga wa kutembeza mitumba? Hiyo ndio kazi yako isiionee aibu.
Naibu waziri mmoja aliingiza watu kama 6 kazini polisi raisi akashtukia mchezo unakumbuka hii issue?Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Hapa tunaongelea ajira sio teuzi, watoto wa Nyerere wangetaka wote wangeajiriwaNyerere aliwakatili mno watoto wake, walipaswa wawe juu sana
Point kubwa sana hii mkuu.
Hata qualification....Watoto wa mwl.Nyerere hawana kazi.
Usijidanganye bro. Kuna mmoja alipata gpa ya 5 architecture ardhi university, nilimuacha ameajiriwa udsm , udbsWatoto wa kabudi hawana kazi,wamerandana kweli kweli na baba yao hasa leenye mimacho
.Watoto wa kabudi hawana kazi,wamerandana kweli kweli na baba yao hasa leenye mimacho
DuhUsijidanganye bro. Kuna mmoja alipata gpa ya 5 architecture ardhi university, nilimuacha ameajiriwa udsm , udbs