Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Write your reply...Wapo mkuu mtaani kwetu kuna ndugu wa familia moja kama wa3 hv na wote hawana kazi toka wamemaliza chuo 2015 mpka leo na baba yao namskia akiitwa kiongozi mtaani kijiweni kwake anapocheza bao
 
Naona unataka kumshushia mtu Lawama badala ya wazazi wako
 
Write your reply...Wapo mkuu mtaani kwetu kuna ndugu wa familia moja kama wa3 hv na wote hawana kazi toka wamemaliza chuo 2015 mpka leo na baba yao namskia akiitwa kiongozi mtaani kijiweni kwake anapocheza bao
Ha ha ha
 
Huu mwandiko kiboko asee😂😂
 
Kwao huwa ni uamuzi. Mambo ya familia, si watoto wote wako katika mstari, kuna watakaokuwa na mambo yasiyoeleweka ikiwamo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi au kuvurunda au kutotaka kufanya lolote kwa ujumla.
Wao si malaika.
 
Afu watoto wa boss ma-CCM hawasomi hizi shule za kayumba...wengi wai wanasoma zile za mabeberu...sisi sasa wafia chama ndiyo tunahangaika nazo!! mtoto akimaliza la saba anarithi kazi ya baba.. kama mvuvi haya, kama selemala haya!!
 
Hata kama hakufaulu vizuri ana kazi.
 
Siku hizi wote wanakimbikia bungeni sijui tutakua na bunge LA aina gani!?? Siamini kama kuna mtoto wakiongozi atakayeweza kuhoji serikali bungeni yani tutakua na bunge lisilo na kichwa
Yanii kila mstaaafu kapeleka watoto
 
Tema mate chini wewe hayajakukuta
 
Si huwa wawaambia watoto wa walala hoi wajiajiri kwanini huyu naye asijiajiri!? 😳

Mtoto wa DC Mbeya ambaye ni mkuu wa halmashauri mbili Hana kazi, alijitolea bomani na sasa anajitolea Kama mtendaji wa Kijiji furani huko mbeya vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…