Haiwezekani mkuu,kuna issue inaitwa connectionHabari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuuWanakosaje kazi wkt watoa kazi ni baba/mama/uncle zao?
Vitambulisho vya umachinga oyeeee.
Hahah ni ndoto hizo.
Lkn watoto wa maskini ndio wanaambiwa chukueni hiki kitambulisho cha umachinga mkachape kazi maana tatizo la ajira ni dunia nzima/serikali haiwezi kuajiri watu wote.
Duh!We unasema watoto umeenda mbali Sana kuna jamaa ni mjomba wake na Suleiman jafo hata hajamaliza chuo ilikuwa kashapata kazi sehemu mbili dodoma na dar Ila akachagua dar mpaka Sasa yupo dar anafanya kazi sehemu Ila watoto wa mama ntilie sasa
Haiwezekani,Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Jifunze kiswahili wewe jua namna ya kuangalia mawazo yakoNdio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Ah wapi maneno tu Tena sehemu nyeti kabisa yupoDuh!
Huyo waziri si anasifika kwa uadilifu?
Andika kwa kiswahiliNdio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
The beautiful ones are not yet born.Ah wapi maneno tu Tena sehemu nyeti kabisa yupo
Rizwan ameajiriwa wapi? Hussain mwinyi kaajiriwa wapi?Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
NNdio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Ngoja nitamuuliza mama Mari eti madaraka na makongoro wameajiriwa wapi?Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watoto wa kabudi hawana kazi,wamerandana kweli kweli na baba yao hasa leenye mimacho
Si wako wanasimamia miradi ya familia,sasa ajira gani tena wanahitaji mzee baba?watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Sio kwamba hawana kazi ila wanachagua kazi au hawataki tu. Raisi ndio muajiri mkuu nchini kumbuka hilo.watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Makongoro mjumbe wa kamati kuu CCMNgoja nitamuuliza mama Mari eti madaraka na makongoro wameajiriwa wapi?