Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Kawa mzuri sababu ya sperm zenye rotuba anazopewa na matunzo,, wwe shida ziko Hadi kwa sperm
🤣🤣🤣najaribu tena, sasaivi zina quality
 
Hii umewahi kuiapply?
Nawaza tu usije kushangaa wahun uliowapa kibunda wanakuja kumsanua😀😀. Hii nzuri km ni nje ya mji
 
Kwa wanaume, ex anarudiwa vizuri kabisa tusidanganyane hapa...na sababu kuu huwa ni kunjunjana kimasihara
Ndo napambana anitunuku. Hata kama sii moja moja lkn akinitunuku naweza kumweka karibu zaidi
 
Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
...Shinda Sportspesa zawadi ya kwanza ya Shilingi Bilioni Moja![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Daah Bantu lady shukrani sana.
Nilianza na gia kubwa ya kumtafuta mara kwa mara. Kwahy inabid nipunguze kuonesha namtaka sana sio? Sema kusubiri kwa muda huo ntapata tabu sana
 
Bado hujapata pesa ya kutosha kumshawishi akurudie, achana naye, tafuta pesa atakuja mwenyewe.
 
kurudia mapenzi wa zamani nisawa ira kuna mambo mawili 1 kama ana kupenda ww naww unampenda ludiana nae ila kama hakupendi achana nae pia tumia njia ya vishawishi yani jipendekeze kwake uwe mutumwa wa mapenzi kwani alishankusoma tabia zako naww ulisha musoma kwa hivyo hapo inabidi mmoja awe mutumwa kwa walio pitia wana lijua hilo
 
Mi wamejaribu kurudi ila wameshindwa, ni mmoja tu ndo nipo naye hadi sasa sema alitumia nguvu ya pesa kunivuta, Mara ya kwanza alikuwa bahili balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…