Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Mi mpaka nawa block sema nilichogundua mwanamke ukimuacha ndo unakuwa na mzuka wa kurudiana naye ila akikuacha hali inakuwa tofauti sana ex harudiwi
Nakubali mkuu, akikuacha feeling ni tofauti sana. 😀😀Umeacha wangap
 
Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
Ukiona hivyo ujue kampata aliekuzidi kwa kila kitu!

Isingekuwa hivyo, hata kama ameolewa angekuwa anakutafuta mwenyewe mwende kupasha kiporo.
 
Hatimae nimempata lejendari. Kama umeweza mkuu nadhani naeza pia. Ila najua hukufanya kazi ndogo kufikia apo
 
Ukiona hivyo ujue kampata aliekuzidi kwa kila kitu!

Isingekuwa hivyo, hata kama ameolewa angekuwa anakutafuta mwenyewe mwende kupasha kiporo.
Hajaolewa lkn anakua mguuuumu
 
Cheki vizuri mkuu, mimi Mwanaume
 
Mimi nkimgegeda mwanamke hata akiniacha huwa anarudi mwnyewe so nna msururu wa ma ex naangaliaga nani nmemmis kupasha na nkishapasha napita hivi...
Note: ndomu ihusike kwa x
Uliwapa nini mpaka wanakung'angania? Hamn ambae umepata nae tabu kumgegeda baad ya kuachana?
 
Mkuu kwa huyu dem ata km ungekua wew ungetaka kurudi. Maana ni mkali kila idara. Alaf swala la kupenda halina mipaka mfn km ni ex bas nisiwe na hisia. 😀😀ngoja nitafute resources nichote wakutosha. Hii tab itaisha
 
Shukrani sana mkuu. Nimekuelewa sanaa
Pesa zinaeza zisitatue hii issue ya kurudiana nae. Ushauri mzuri sana alaf simple
 
Hiyo Germany sex drop ndiyo zile zinaitwa LIBIDO ENHANCER?
 
Nakubali mkuu, akikuacha feeling ni tofauti sana. [emoji3][emoji3]Umeacha wangap
Kuna mmoja yupo kwenye ndoa na ana watoto wawili mwingine hajaolewa bado mi nimekuwa hakimu siku hizi kesi zote naletewa mimi namwambia vumilia ndo maisha ya ndoa jinsi yalivyo maana kuna kipindi ilikuwa anataka kuondoka anadai jamaa anampiga sana huyo moja karudi halafu akata iwe kama zamani mara siku hizi hunitafuti mpaka nianze mimi nilimblock alivyoanza kupiga vizinga.
 
Mimi ngoja nikomae tuu, siku akijichanganya akanitunuku tena ndo ntakua in control
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…