Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue kampata aliekuzidi kwa kila kitu!Aise ata mie ngoja nipate tips hapa. Kuna mwanamke natamani sana nirudishe majeshi ila dah kama kaniwekea kauzibe ila sometimes ana respond vizuri tukichat....tupeni mbinu wajuzi wa mambo
Hatimae nimempata lejendari. Kama umeweza mkuu nadhani naeza pia. Ila najua hukufanya kazi ndogo kufikia apoHii Mali Niko nayo Sasa ,tumeachana na kurudiana zaidi ya mara 5
Niko nayo mwaka 4 Sasa na mwezi 11 huu panapo majaliwa tunaingia hatua nyingine kabisaaaaa.....
Ilinifanyia vitimbi too much nusu initoe roho
Pambaneni bhanaa ex anarudiwa,wekeni kiburi na jeuri pembeni
Cheki vizuri mkuu, mimi Mwanaume...introduction, paragraph ya kwanza na ya pili vinaonesha wewe ni KE bado ila paragraph ya tatu umeandika as ME...sasa unanichanganya wewe ni KE au Me?tuanzie hapo.
nb : kama ni KE hiyo username ya Mowwo ingependeza na kapicha kenye liwowo kidogo sio simba.
Uliwapa nini mpaka wanakung'angania? Hamn ambae umepata nae tabu kumgegeda baad ya kuachana?Mimi nkimgegeda mwanamke hata akiniacha huwa anarudi mwnyewe so nna msururu wa ma ex naangaliaga nani nmemmis kupasha na nkishapasha napita hivi...
Note: ndomu ihusike kwa x
Mkuu kwa huyu dem ata km ungekua wew ungetaka kurudi. Maana ni mkali kila idara. Alaf swala la kupenda halina mipaka mfn km ni ex bas nisiwe na hisia. 😀😀ngoja nitafute resources nichote wakutosha. Hii tab itaishaAsee oneitis inawatesa sana vidume wa jf,,How come umrudie Ex wako na unategemea atakua na Genuine Desire na ww? Mwanaume kumrudia ex ni kukosa options as a Man,na Mwanamke akishajua huna options basi kazi unayo,ndomana mnakuja kulia lia kila siku humu.
Hivi wanawake wote hawa huwaoni uanze kuhangaika na ex wako? Sifa ya Mwanaume nikua na access ya unlimited number of women.
Ni aibu kabisa hii,tushasema You can not negotiate Genuine Desire.
Dah.
Shukrani sana mkuu. Nimekuelewa sanaaUnashidweje wakati una mawasiliano na mnasikilizana?
Mtoe Mtoko wa maana siku moja mkae sehemu tulivu y Faragha .
Usimlazimishe kufanya tendo au kuhitaji mwambie leo ni Mazunguzo tu .
Anza mlipokwazana mkaachana ukiyazungumzia mapungufu yako na kuomba msamaa na kaahidi kuto kurudia makosa na zaidi sana utakuwa bora kila sehemu
Mwombe naye awe muwazi kama kuna sehemu kuna disari akuambie ,mwambie wakati mwingine pengine nilikukwaza pasipo mimi kujua nikijua nilikuwa Sahihi kumbe ulikwazika hivyo afunguke upo tayari kuyafanyia kazi.
Akonyesha kukubali ni mwendo wa kuganga mapya.
Katitete wewe ni Mwanaume .
Nb: Usisahau zawadi na kadi ya kuombea msamaha .
Hili nalo neno.Ukiona hivyo ujue kampata aliekuzidi kwa kila kitu!
Isingekuwa hivyo, hata kama ameolewa angekuwa anakutafuta mwenyewe mwende kupasha kiporo.
Sure yaanBora kufa
Tafuta mda ongea.nae Kwanza ujutie yamwanzoNataka kumuoa kabisa this time sitaki ujinga
Hiyo Germany sex drop ndiyo zile zinaitwa LIBIDO ENHANCER?Hatua za kumrudisha ex wako
Wape wauni pesa wa mteke
Alafu wewe unajifanya unaenda kumuokoa
Alafu kaa kimia tu majibu atakupa mwenyewe
Njia ya pili tafuta Germany sex drop
Mpe ishu rafiki yake amuwekee ndani ya maji au cha kula chochote
Majibu utayapata
Kuna mmoja yupo kwenye ndoa na ana watoto wawili mwingine hajaolewa bado mi nimekuwa hakimu siku hizi kesi zote naletewa mimi namwambia vumilia ndo maisha ya ndoa jinsi yalivyo maana kuna kipindi ilikuwa anataka kuondoka anadai jamaa anampiga sana huyo moja karudi halafu akata iwe kama zamani mara siku hizi hunitafuti mpaka nianze mimi nilimblock alivyoanza kupiga vizinga.Nakubali mkuu, akikuacha feeling ni tofauti sana. [emoji3][emoji3]Umeacha wangap
Mimi ngoja nikomae tuu, siku akijichanganya akanitunuku tena ndo ntakua in controlKuna mmoja yupo kwenye ndoa na ana watoto wawili mwingine hajaolewa bado mi nimekuwa hakimu siku hizi kesi zote naletewa mimi namwambia vumilia ndo maisha ya ndoa jinsi yalivyo maana kuna kipindi ilikuwa anataka kuondoka anadai jamaa anampiga sana huyo moja karudi halafu akata iwe kama zamani mara siku hizi hunitafuti mpaka nianze mimi nilimblock alivyoanza kupiga vizinga.