Bado unaendeleza porojo tu hauna uthibitisho wowote zaidi ya blabla tu🚮Mkuu mimi siaminishi watu uchawi ukizingatia sio mimi niliyeleta hapa huu uzi, sasa badala ya kumwambia aliyeleta uzi wewe unaniambia mimi mchangiaji tu hapa kama wewe.
Hii ndio JF mkuu, kama ambavyo baadhi ya wauamini wa Mungu wamekuja kujulia humu watu ambao wanapinga katakata uwepo wa Mungu, hivyo nawe pia usione kero unapokutana na watu wana mitazamo na experiences tofauti na wewe.
Kama ulikuwa unadhania uchawi kwenye jamii zetu hizi ndio hizo story tu za kuibiwa nyeti basi fanya tena utafiti wako mkuu. Mimi naeleza nayoyajua wala sio lengo langu kutaka wewe uamini uchawi.
Sijajua mkuu ulifanyia wapi utafiti wako kuhusu imani za kichawi hadi hayo ukawa haujayasikia kuwa ni sehemu ya imani za kichawi.Duh tuishie hapa
Uchawi ni maujinga ujinga mnayowapandikizia watu wawe na hofu tu , uchawi na ignorance ni mapacha wa karibu sana , visa vyote vya kichawi ni ukosefu wa maarifa tuSijajua mkuu ulifanyia wapi utafiti wako kuhusu imani za kichawi hadi hayo ukawa haujayasikia kuwa ni sehemu ya imani za kichawi.
Haya mkuu ngoja nikuache uelezee hayo ya kuibiwa nyeti na historia ya watu kuamini ukimwi ni kurogwa.
Sikulazimishi mkuu kumbuka hadi leo wapo wenye kuamini na wasioamini uchawi, mimi naelezea jinsi hiyo imani ya uchawi ilivyopana tofauti na hayo mnayoeleza sijui ya kuibiwa nyeti.Bado unaendeleza porojo tu hauna uthibitisho wowote zaidi ya blabla tu🚮
Tutajua vip hadithi zako ni porojo tu kama haya ya nyeti
Kuamini ni haki yako , hata wa nyeti wapo wanao amini ni haki yao pia , unaelezea vipi kitu ambacho unashindwa kukithibitisha? Au na wewe unasikia tu kwa watu ?Sikulazimishi mkuu kumbuka hadi leo wapo wenye kuamini na wasioamini uchawi, mimi naelezea jinsi hiyo imani ya uchawi ilivyopana tofauti na hayo mnayoeleza sijui ya kuibiwa nyeti.
Sasa watu wawe na hofu ya nini na hiyo hofu inamfaidisha nani? Mkuu unaongea kwa hisia sana.Uchawi ni maujinga ujinga mnayowapandikizia watu wawe na hofu tu , uchawi na ignorance ni mapacha wa karibu sana , visa vyote vya kichawi ni ukosefu wa maarifa tu
Nipe faida za kutaka watu waamini uchawi? Hayo ya hisia umesema weweSasa watu wawe na hofu ya nini na hiyo hofu inamfaidisha nani? Mkuu unaongea kwa hisia sana.
Sawa mtafiti, mie sina uthibitisho kwahiyo yote unayoyasema kama mtafiti ni sahihi.Kuamini ni haki yako , hata wa nyeti wapo wanao amini ni haki yao pia , unaelezea vipi kitu ambacho unashindwa kukithibitisha? Au na wewe unasikia tu kwa watu ?
Hakuna faida mkuu hata huu uzi wenyewe haukupaswa kuwepo mkuu maana hauna faida kujadili vitu visivyo na faida.Nipe faida za kutaka watu waamini uchawi? Hayo ya hisia umesema wewe
Hadithi nyingi za uchawi ni blabla tu , mara sijui ishi sumbawanga utaona , mara sijui kigoma utaona mara Tanga kwa msisi utaona , hakuna kitu kote huko ni fix za kusikia tuSawa mtafiti, mie sina uthibitisho kwahiyo yote unayoyasema kama mtafiti ni sahihi.
Sikushawishi na wala sina lengo hilo na sina maslahi yoyote, just forum tuHakuna faida mkuu hata huu uzi wenyewe haukupaswa kuwepo mkuu maana hauna faida kujadili vitu visivyo na faida.
Nimekubali mkuu uchawi hakuna nimeshawishika na maelezo yako vya kutosha.
Mkuu watu wamefanya tafiti na wamegundua uchawi hakuna, min -me -me kafanya utafiti kwa kuzunguka nchi nzima.Uchawi ni energy kama ulivyo umeme. Ili ufanye kazi unahitaji mazingira sahihi ikiwemo na conductor. Uchawi unampata anayeamini kuwa upo na unafanya kazi. Kwa mtu wa hivyo ni rahisi hata kumloga sababu ana element zinazo attract uchawi.
Ndio maana sio rahisi ku prove uchawi kama upo kwa sababu haufanyi kazi katika namna ambayo mtu anaweza kuona kwa macho.
Hauna lengo hilo? Mbona mimi unanigea hilo lengo la kwamba nataka watu waamini uchawi hadi unaniuliza faida zake?Sikushawishi na wala sina lengo hilo na sina maslahi yoyote, just forum tu
Mara kadhaa nimekuona ukiongelea tu uchawi na sio wewe tu , watu wengi wanafanya hivyo changamoto zikiwapata wanaona ni uchawiHauna lengo hilo? Mbona mimi unanigea hilo lengo la kwamba nataka watu waamini uchawi hadi unaniuliza faida zake?
Haya mkuu sawa.
Ni kweli kabisa mkuu na hakuna atakayeweza kukuprove wrong kivyovyote vile, hakuna atakayeweza kuthibitisha kisayansi huo uchawi na kinyume na uthibitisho wa kisayansi hiyo inakuwa ni jambo tu tusilolijua ila sio uchawi.40+ years duniani nasikia uchawi kama stories , hata wewe hapa bado unanipa masimulizi tu
Uchawi = ignorance .Ni kweli kabisa mkuu na hakuna atakayeweza kukuprove wrong kivyovyote vile, hakuna atakayeweza kuthibitisha kisayansi huo uchawi na kinyume na uthibitisho wa kisayansi hiyo inakuwa ni jambo tu tusilolijua ila sio uchawi.
Kwahiyo mkuu hata ukifikisha miaka 80+ bado itabaki hivyo hivyo na imekuwa hivyo tangu karne na karne.
Naongelea kama mchangiaji tu kwa kukuta mada kama hivi nachangia basi au huwa natangaza kuwa nina masomo ya kufundisha uchawi?Mara kadhaa nimekuona ukiongelea tu uchawi na sio wewe tu , watu wengi wanafanya hivyo changamoto zikiwapata wanaona ni uchawi
Na watu wa aina hii ni jamii isiyosoma, elimu ni muhimu sanaKuna watu wametengwa kwenye jamii, na ndugu jamaa na marafiki kwa sababu hizo hizo za madai ya uchawi , Binafsi kabisa yalikwishawahi nikuta nikaitwa mshirikina , nimetoa msukule baada ya katoto kangu kadogo kufariki na pneumonia, na maujinga ujinga mengi ya kipumbavu tu.