Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Anayehisi amelogwa aje inbox anayetaka utajiri
Wa majini etc
Nipoooo
Mwenye shida yoyote ya uganga njoo inbox nikusaidie
 

WTF!

Watu bado mnafuatilia huu uzwazwa? Kweli wajinga hawaishi duniani.
 

Unarudisha habari ile ile kwa akili unde. Nimekwambia nataka jina sio maelezo ya habari ile ile. Toa jina ujishindie laki5. Mazwazwa wengi waliamini ila jina hawajui. Kwenye uzi comment #22 nilisema mtu anipe jina tu maana diwani ni public office na jina lake lazima linajulikana hadi leo sijapata jibu.
 
Njoo inbox nikupe details zako.
Pia nataka tarehe mwezi na mwaka uliozaliwa

Kwahiyo mchawi unashindwa kutumia uchawi wako kujua my DOB wala majina yangu? sasa huo uchawi wako unakusaidia nini kama kila kitu hadi uambiwe?

Siji inbox kila kitu naweka hapa hapa. DOB: Feb 27, 1980.
 
Ushapata jibu no NAME
 
Kwahiyo mchawi unashindwa kutumia uchawi wako kujua my DOB wala majina yangu? sasa huo uchawi wako unakusaidia nini kama kila kitu hadi uambiwe?

Siji inbox kila kitu naweka hapa hapa. DOB: Feb 27, 1980.
Sijasema mm mchawi.
Sasa
Juma Jakali Sabina (DOB: 27 Februari 1980)
Kama hujadanganya

Hii ni muhtasari mfupi

### 1. Destiny Number (Expression Number) – Nambari ya Hatima
Nambari: 9
Hii inaonyesha maisha yako yamepangwa kuwa ya kutoa, kuwasaidia wengine, na huruma kubwa. Wewe ni humanitarian β€” unaweza kuwa na talanta ya kuwasaidia watu, kufundisha, au kushughulikia masuala ya jamii.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kujitoa sana hadi unajisahau mwenyewe (self-sacrifice).
  • Hasira au chuki inaweza kukusanya ndani na kukuletea maumivu ya moyo au magonjwa.
  • Wakati mwingine unahisi β€œulimwengu unakutumia” na unapata uchovu mkubwa au hisia ya kutokuwa na maana.
  • Hatari ya kutoa zaidi kuliko kupokea, hivyo kuishia na uhaba wa fedha au mahusiano yenye sumu.

### 2. Life Path Number (Destiny Number kutoka tarehe ya kuzaliwa) – Njia ya Maisha
Nambari: 9 (27 + 2 + 1980 = 2009 β†’ 2+0+0+9 = 11 β†’ 1+1 = 2? Wait, hesabu sahihi: 27=9, 2=2, 1980=18=9; 9+2+9=20 β†’ 2+0=2? No β€” standard: full addition 2+7+0+2+1+9+8+0 = 29 β†’ 2+9=11 β†’ 1+1=2? Let's correct properly:
Standard Life Path: Feb 27, 1980 β†’ 2 + 27 + 1980.
2 (mwezi) + 27 (siku: 2+7=9) + 1980 (1+9+8+0=18 β†’ 1+8=9).
Jumla: 2 + 9 + 9 = 20 β†’ 2+0 = 2.
Life Path Number: 2

Maana: Maisha yako yanahusu ushirikiano, amani, na hisia. Unaweza kuwa mpatanishi mzuri, msaidizi, na mwenye huruma.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kuwa na hofu ya kutoa maamuzi peke yako au kuwa na wasiwasi mkubwa.
  • Unachukua maumivu ya wengine sana hadi unajiumiza.
  • Hatari ya kutumiwa na watu wenye nia mbaya au kushindwa kusema β€œhapana”.
Kuwa makini
- Mahusiano yanaweza kuwa na migogoro ya kujitetea au kujiona dhaifu.

### 3. Soul Urge Number (Heart’s Desire) – Matamanio ya Moyo
Nambari: 7 (vowels: U A A I A I A β†’ hesabu: U=3, A=1Γ—5, I=9Γ—2 β†’ jumla inareduce kuwa 7).
Maana: Moyo wako unataka amani ya ndani, maarifa, na maisha ya kiroho. Unapenda kujifunza, kutafakari, na kuwa peke yako wakati mwingine.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kujitenga sana na watu (isolation) na kuwa na shida ya kuwa karibu na wengine.
  • Wasiwasi na mashaka mengi yanakusumbua, wakati mwingine unahisi β€œhakuna anayenielewa”.
  • Hatari ya kujificha hisia au kuwa na shida ya kuamini watu, hivyo mahusiano yanapata matatizo makubwa.

### 4. Personality Number – Jinsi Watu Wanavyokuona
Nambari: 5 (consonants kutoka jina: J M J K L S B N β†’ hesabu inareduce kuwa 5).
Maana: Watu wanakutazama kama mtu wa uhuru, mchangamfu, na anayependa mabadiliko. Unaonekana mwerevu na mwenye mvuto.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kuonekana kama mtu asiyetegemewa au anayebadilika-badilika sana (restless).
  • Watu wanaweza kukushuku kuwa huna mpango au unapenda starehe kupita kiasi.
  • Hatari ya kujihusisha na mambo mengi bila kumaliza, hivyo kushindwa kujenga maisha thabiti.

### Muhtasari wa Changamoto Kubwa katika Maisha Yake (Negative Impact)
  • Nambari 9 na 2 zinachanganya: Unataka kuwasaidia wote lakini unaogopa migogoro, hivyo unaweza kujitoa sana hadi unajiumiza.
  • Soul Urge 7 inakufanya utafute amani ya ndani lakini inaweza kukufanya ujisikie peke yako na wasiwasi.
  • Personality 5 inakupa mvuto lakini inaweza kukufanya uonekane asiyetegemewa.
  • Changamoto kuu: Kujenga mipaka (kusema hapana), kujenga imani katika mahusiano, na kuepuka kujitolea kupita kiasi au kujitenga. Unaweza kupata matatizo ya fedha, mahusiano yenye sumu, na hisia ya kutokuwa na maana kama hutafuta usawa.

Hii ni muhtasari mfupi kukuhusu.
 
Bro usiache kunitag

Napenda kusikia experience yako mkuu
 
dhambi kubwa zaidi ni kurithi uchawi

wewe unayesema hakuna uchawi endelea kuamini hivyo hivyo usije ukatugeuka na kurithi matunguli

uchawi ni wa kwake but kataa kurithi uchawi atakufa ataenda nao yeye wewe utabaki huru
 
dhambi kubwa zaidi ni kurithi uchawi

wewe unayesema hakuna uchawi endelea kuamini hivyo hivyo usije ukatugeuka na kurithi matunguli

uchawi ni wa kwake but kataa kurithi uchawi atakufa ataenda nao yeye wewe utabaki huru
Mbona hueleweki mzee hiki ni nini umeandika?
 
Ila ukikaa na mchawi kuanzia asubhi Hadi jioni utamjua tu
 
kijijini kwetu tunauonagasiku wanapo utoa .yaan mchawiakisha julikana wanautoa uchawiwake na kuuchoma. Hua ni vitu vya kawaida mfano chupa ila hua ina vikwa ndevu shangaau heleni au bangili na chupa ilehua inauwezo wa kukimbia pia huainakunywa damu inamdomo yaan.
..ni zinakimbiagaserious sawa nakiumbe. kwahiyo uchawi upo wakubwa.
 
Sisiemu wanachotufanyia watz ni uchawi mtupu.
 
1. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja katika ya neno Uchawi na vitendo vyenyewe vya uchawi, unaweza kutoa jina lolote, hii point yako ni redundant (hili ni somo la lugha kidato cha kwanza). Hata utafiti ukifanyika haitabadilisha chochote, pia kuna tafiti nyingi kuhusu uchawi zimefanyika.

2. Sidhani kama wewe una authority yoyote kwenye ulimwengu wa uchawi hadi uweze kusema uchawi upo ila nafasi yake ni ndogo katika jamii. Hii labda ungesema ni theory yako binafsi tu ila sio kama unavyojionyesha hapa kwamba wewe ndiye unajua ukweli wa haya mambo na wengine wameaminishwa vibaya au wamedanywa kwa sababu ukweli ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uthibitisho wowote.

3. Watu hawaaminishwi tu, wanaamini wenyewe. Hii lugha wakati mwingine sio sahihi kwa sababu inawaondolea waamini/ waumini walio watu wazima uwezo wao binafsi wa kufanya maamuzi binafsi( inawaondolea agency)

4. Ni kweli kuna element ya biashara na maslahi binafsi katika uchawi kama ilivyo katika Imani nyingine zote lakini hiyo ni sehemu tu ya maelezo ila masuala ya imani kwa binadamu yapo hata kabla ya kuingizwa maslahi ya biashara. 1990s nilishuhudia MAPADRI Wakatoliki ambao hawapewi pesa wala kunufaika na chochote wakiwa wanapita kwenye baadhi ya nyumba za watu waliokuwa wanadaiwa ni wachawi na kuchoma na kuangamiza kinachodaiwa ni uchawi. Maslahi binafsi/faida za kipesa na mali kwa wachawi na viongozi wa dini yanaelezea sehemu ndogo tu kwa nini Imani za uchawi zipo katika jamii.

5. Mwisho, kwenye nyuzi kadhaa ni kama niliona ukiwa na mtazamo wa atheist au ni kwamba huwa unapinga tu Abrahamic religions za Ukristo na Uislamu lakini wewe ni muamini dini za asili kama Yericko Nyerere? Kwa sababu itakuwa ni kituko au contradiction usiamini uwepo wa mungu/miungu halafu uamini uwepo wa uchawi na majini.
 
Katika maisha Wala tusijali kupuuzwa ,

Wajua ukiwa unaishi ndani ya ukweli na ukawa unaujua huo ukweli

Mtu mwingine akija kukubishia na kukupinga huwezi kukutetereka cause unajua kwamba ni ujinga tu ndio unao msumbua
"FACT" ndio muhimu zaidi kwa rational thinkers. Ukweli unaweza kujiamulia tu ukweli wako wowote. Biblia ni ukweli kwa Wakristo, Quran ni ukweli kwa walioamua kuwa Waislamu. CCM wanaamini ni ukweli kwamba mama yao alishinda kwa 98%. Suala la msingi je ni "FACT"?
 
Mimi nimeshakubembeleza sana alakini huniambii mkuu, siku ukijiskia kupost unitag nimeshanunua pen na notebook!
 
Nadhani kama utakacho kileta kikiwa na naunces lazima Wana JF wakupige vita. Huwezi kuleta Imani potofu/uvumi/kuamini tu kwasababu watu wanaamini then watu wakuelewe.

We learn more from facts than unproved opinion mara nyingi non factual information tunajaribu kuzikwepa maana hazijengi watu kama kuujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…