Heshimu tu wanayoyajua wenzako tofauti na unavyojua wewe, watu hutofautiana experience za maisha mkuu.Me nikiona mtu mzima anaamini kuna uchawi namtoa maana kabisa nakuona hana akili kabisa kasoro labda mshana huyu ndo mtu pekee anayekubali Kuna uchawi ila still nitamuheshimu tu sijui kwa sababu gani
min -me
Hapo ni sawa na mtu aamuwe kufanya mapenzi na mtu anayesemekana ana ukimwi halafu akaenda kupima ukimwi majibu yakatoka negative kisha akasema hakunaga ugonjwa wa ukimwi.Mimi nilijaribu sana kutafuta ukweli huu na sikufaniliwa.Kuna wakati niliwahi kuishi Namanyere na niliandika uzi mmoja mrefuu wa maisha yangu huko.Kipindi hicho kulivuma habari kwamba Ali Mabodi na Roki Mwanamyoto ambao walikuwa marafiki mno,kwamba ni wachawi wakubwa na walikuwa wanaogopwa mkoa mzima.Huyo Ali Mabodi wengi mnamfahamu kwa jina la Ali Kessy na aliwahi kuwa mbunge wa Nkasi.Hao watu walikuwa wanaogopwa na kuna hadithi nyingi sana juu yao.Watu walikuwa hawashikani nao mkono.Mimi nilishikana na Ali mkono na mji mzima ikawa gumzo lakini sijaona chochote kuthibitisha uchawi wao
Yanayoelezwa hapa sehemu kubwa ni zile imani potofu tu, ila masuala ya kuhusu uchawi ni issue pana sana na ndio maana waganga wamekuwa wengi na sio kwamba watu wanaenda huko kwa waganga ili kusimuliwa story za kichawi.Ni vitu ambavyo tulivyoshindwa tu kuvieleza tu.. ndio tunaita uchawi
Chukulia utungwaji wa mimba mpaka mtoto anazaliwa.. tusingepata mchanganuo wake tungeita tu uchawi
Unalala na mtu , anapata mimba, baada ya mda anajifungua mtoto
Yaani tusingepata ufafanuzi tungesema ni uchawi.. japokuwa tumepata ufafanuzi lakini bado ni moja kati ya miujiza…
Vimaji maji tu vije kuwa binaadamu au kiumbe mkubwa tu
Kama unaona uchawi kiujumla ni maujinga, mbona hiyo habari ya kuibiwa nyeti imekushika sana kama kitu cha ajabu wakati ushazowea kusikia maujinga ya uchawi?Uzuri mmoja maujinga mnayo yaamini yanajitokeza yenywe , aya nasikia mnaibiwa nyeti
Kwahiyo sayansi ni uongo kwa sababu watu waliaminishwa uongo kuhusu cholestrol kwa kivuli cha sayansi na uongo huo ukadumu toka miaka ya 60 na wanasayansi hawakujua hadi hivi miaka ya juzi?Kama uchawi unaweza kutiwa chumvi na hata hao wachwi na waganga wasing'amue kama ni ukweli ujue uchawi ni uongo ,rejea issues za ukimwi kipindi cha nyuma
Wewe unaishia kuzungumzia tu yale mambo ambayo watu wanayaona na kuyahusisha na uchawi tu, ila watu wanatumia uchawi ili kupata matokeo kwenye mambo mengi kuanzia mapenzi, kesi mahakamani huko, makazini, kwenye maugomvi,biashara n.kUchawi ni hadithi za kutungwa na yale mambo yanayotokea bila kutambulika vizuri na ni kutokana na ignorance tu
Kuzaliwa zamani tu hakutoshi, kuna watu wana experience za maisha kushinda hata watu waliyowazidi umri kwa mbali.Sijazaliwa leo , uchawi na ujinga ni mapacha.
Sayansi una uwanja mpana wa kujisahisha wapi ilisema imejifungia kwenye boxKwahiyo sayansi ni uongo kwa sababu watu waliaminishwa uongo kuhusu cholestrol kwa kivuli cha sayansi na uongo huo ukadumu toka miaka ya 60 na wanasayansi hawakujua hadi hivi miaka ya juzi?
Waweke uthibitisho hapa , na kama wewe ni mchawi niloge , kipi kiarabu hapo?Kuzaliwa zamani tu hakutoshi, kuna watu wana experience za maisha kushinda hata watu waliyowazidi umri kwa mbali.
Wewe pia unazungumzia tu hapa , weka ushahidi wa uchawiWewe unaishia kuzungumzia tu yale mambo ambayo watu wanayaona na kuyahusisha na uchawi tu, ila watu wanatumia uchawi ili kupata matokeo kwenye mambo mengi kuanzia mapenzi, kesi mahakamani huko, makazini, kwenye maugomvi,biashara n.k
Sasa wewe unazungumzia tofauti na huko kabisa, huko hakuna story ni kufanyika kitu matokeo yaonekane kama ilivyokusudiwa.
Kwani kuna muongozo wa uchawi ambao ndio huo pekee unafuatwa na watu wote wenye kuamini uchawi?Sayansi una uwanja mpana wa kujisahisha wapi ilisema imejifungia kwenye box
Uchawi ni bla bla za kijinga tu , sayansi ipo na inajirebisha sio kwamba haikosei , huo uchawi upo wapi thibitishaKwani kuna muongozo wa uchawi ambao ndio huo pekee unafuatwa na watu wote wenye kuamini uchawi?
Watu wanaaminishwa nadharia za upotoshaji kabisa na wanasayansi wapo ila hawakuweza kuzuia huo upotoshaji ambao haukuwa na ushahidi wa kisayansi na huo ni mfano mmoja tu.
Hapa unathibitisha vp?Waweke uthibitisho hapa , na kama wewe ni mchawi niloge , kipi kiarabu hapo?
Ndio maana nikakumbia hakuna uchawi ni ignorance tuHapa unathibitisha vp?
Nazungumzia watu kupotoshwa hapa elewa kwanza hilo, watu wanajazwa ujinga kwa kivuli cha sayansi ndio maana nasema upotoshaji na ujinga upo kila sehemu ni tofauti na mnavyotaka kutuaminisha hapa, maana naona mmeshikilia imani potofu za kwenye uchawi wakati hata kwenye sayansi watu hao hao wanaweza kupotoshwa.Uchawi ni bla bla za kijinga tu , sayansi ipo na inajirebisha sio kwamba haikosei , huo uchawi upo wapi thibitisha
Unathibitisha vp hapa JF? Hilo ndio swali langu.Ndio maana nikakumbia hakuna uchawi ni ignorance tu
Loga jf izimeUnathibitisha vp hapa JF? Hilo ndio swali langu.
kaa kwa kutulia nado halijakukuta jamboUchawi ni hadithi za kutungwa na yale mambo yanayotokea bila kutambulika vizuri na ni kutokana na ignorance tu
Uchawi haupo ,miaka ya nyuma tulishuhudia kila Mtanzania akijua Ukimwi ni kulogwa unaelewa maana ya kila?Nazungumzia watu kupotoshwa hapa elewa kwanza hilo, watu wanajazwa ujinga kwa kivuli cha sayansi ndio maana nasema upotoshaji na ujinga upo kila sehemu ni tofauti na mnavyotaka kutuaminisha hapa, maana naona mmeshikilia imani potofu za kwenye uchawi wakati hata kwenye sayansi watu hao hao wanaweza kupotoshwa.
Kama uchawi ungekuwepo na unafanya kazi the way kama mnavyouelezea, basi USA, Israel na Iran, zingekuwa bize kutumia huo uchawi kwenye hii vita yao ya 2026.Mbona hata wazungu wanaamini tu uchawi na wana madarasa ya kufundisha kabisa uchawi, kuna mavitabu kibao ya wazungu wakifundisha uchawi.
Halafu afrika uchawi ni zaidi ya hicho ulichoeleza, wewe hapo umeeleza tu watu kuhusisha vitu wasivyovielewa na uchawi ila watu hujihusisha na uchawi kwa mambo mengi sana kuanzi kuhusiana na maradhi, harakati za utafutaji, kesi, kusolve mambo yao, issue za mapenzi, uzazi n.k