Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Shehe nakumbuka ulivyomumunya dushelele la mtu mzima secretarybird hadi akapandwa na wazimu.

Hakika hiyo PhD yako si ya kubatisha.
Hakika nilizagamuka ipasavyo.

Kwenye jambo hilo nina taaluma mahiri mno. Nikianza kulamba bichwa nashuka kwenye shingo mpaka chini kuleee.... 😍😍😍

Asalaam aleikhum sheikh...
 
Nimekuelewa mkuu. Ila kwa huku kwetu wanaumwinyi aka usultan sana
Tatizo la kwetu ni moja, uislamu ulipokelewa na aina fulani ya watu ambao waliamua kuelemea kwenye dini zaidi kuliko dunia.
Mbaya zaidi ili kutimizia azma zao walifanya kama kuharamisha elimu ya dunia kwa utashi wao tu.

Hili lilikomaa zaidi sababu elimu ya kiislam ilikuwa inafundishwa na mtu mmoja mmoja zaidi kuliko taasisi. Hii iliondoa haja na umuhimu wa waliofundishwa kujiendeleza kidunia zaidi ikizingatiwa chimbuko la mafunzo lilielemea kwenye individual preference ya mwalimu wa kwanza.

Zamani ilikuwa mtoto anaanza kufundishwa Quran na baba yake, akisogea mbele kidogo anaenda kwa ustaadh wa baba yake, kadri anavyosogea anakwenda kwa ustaadh wa ustaadh. Akija kutahamaki kamaliza vitabu vyote vya dini bila elimu ya dunia.

Waliobahatika ni wale waliokutana na maustaadh ambao walipata nafasi ya kwenda nje ya mfumo wa ustaadh kwa ustaadh na kwenda kusomea nchi nyingine kama Misri na Saudi Arabia.

Huko wakifika wanakutana kuna masomo zaidi ya Quran na Fiqhi. Kuna elimu dunia na specialization, kwamba mtu anaamua kuchukua major ya Quran tu, kumaanisha anafundishwa kiundani na kuielewa, au ana base kwenye medicine in islam, kumaanisha anafundishwa udaktari kwa kufuata misingi ya dini lakini in reality ni udaktari ule ule.

Quran ni msingi wa kila jambo, ikisomwa na kueleweka imejumuisha elimu ya dunia yote.

Ila ikisomwa kwa kurithishwa kwa mujibu wa uelewa wa babu yake babu basi ndio tunaishia na kina Sheikh Kipozeo kusifia matako.
 
hiyo quran na sunna inaunda bidhaa? Upuuzi mtupu
 
Dr Mufti Zuber
 
Kamsome Sheikh Ahmad Rusaganya advance kasoma PCM na ana masters ya education in physics and mathematics.
Ukitaka wengine nakutajia.
 
Well said
 
Hakika nilizagamuka ipasavyo.

Kwenye jambo hilo nina taaluma mahiri mno. Nikianza kulamba bichwa nashuka kwenye shingo mpaka chini kuleee.... 😍😍😍

Asalaam aleikhum sheikh...
Yaani usinikumbushe kabisa maana ninaweza ku postpone kazi ya kulijenga taifa nikakufuata hapo ulipo ili unipe tena mautamu mchana kweupe.

Yaani, yaani!!
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Uislam kuna namna kama huwaga wanaikataa elimu na wameipa jina kabisa "eti elimu dunia" 🀣🀣🀣 kwamba hapo wao wapo mbinguni

Sema why taasisi yao pia ina miliki shule na vyuo? Kuna shule kibao zinamilikiwa na BAKWATA kikiwwmo na kile chuo kikuu pale Morogoro
Mnataka kutuaminisha elimu ni dhambi?

Mithali 4:13
[13]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.

πŸ‘† ukristo unasisitiza hivyo mkuu, haijalishi ni ya dini ama dunia kama mnavyoita
 
Kamsome Sheikh Ahmad Rusaganya advance kasoma PCM na ana masters ya education in physics and mathematics.
Ukitaka wengine nakutajia.
Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
 
Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
Wasomi wapo wengi tu kaka ila hawajitangazi.
Naweza kukutajia wengine hapa ukitaka kaka.
 
Kwamba wana shule na madarasa ila masheihk wao hawataki elimu dunia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…