Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

Wasalaam JF

Swali kwa wanandoa je vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka.

Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa.

Wadiz.
Ndoa ni taasisi na hakuna taasisi inayokosa changamoto.. Kikubwa na cha muhimu ni kwamba unazikabili vipi hizo changamoto?

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Hazina kupatia hiz,watu hubadilika mkuu.Ndoa ni uvumilivu....kama mlipendana kweli vumilieni....kama mliingia pasipo upendo achaneni maana kuuana ni chap
Ukitaka kuoa unaangalia asili na sio kusukumwa na nyege.Ipo tofauti ya upendo na mapenzi.
Mkiingia kwenye ndoa kwa upendo majuto hayapo.
90% ya migogoro ya ndoa chanzo ni nguvu za giza. Na wengi hawana/hawataki kujifunza kuhusu elimu ya ulimwengu wa mahusiano kiroho.
 
Pathetic! Huoni kufanya hivyo ni sawa na kuwachochea hawa jamaa wenye kampeni ya "KATAA NDOA, NDOA NI WIZI, NDOA NI UTAPELI" Wazidishe wanachokifanya licha ya kutokujulikana majina yao,,that's why nimewaita mazwazwa tu,,hawatajua walifanyalo.
Kama hutaki kuona watu wanaandika wanayowasibu. Hapo ndiyo unapata jibu
1. Kataa ndoa
2. Ndoa ni utapeli
3. Ndoa ni wizi
 
Back
Top Bottom