Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 948
- 2,040
Unaupatajee kwa mfanooo...na wewe haupoo katika ndoaa?Mi ninashida na huo mbinuko tu .
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaupatajee kwa mfanooo...na wewe haupoo katika ndoaa?Mi ninashida na huo mbinuko tu .
#YNWA
Huu mbinukoo ni special kwa wanandoaa tuuuu😅Mi ninashida na huo mbinuko tu .
#YNWA
Ishu sio vetting ni venye watu hubadilika tu.Mpka ujutie inamana hukufanya wala kufanyiwa vetting ya kutosha. Sema tu kwa sisi wanaume unaweza ukakutana na mchepuko mpka ukajiuliza kwa nini hukuanza kumuona yeye ili uweke ndani halafu mkeo ndio awe mchepuko[emoji2297]
Mpaka umeweza kutofautisha hizo taasisi mbili basi kwaujumla umeelewa point kuwa haulazimishwi kufanya lolote, fanya utakalo ila elimu mliyotaka kuitoa juu ya ndoa na pros na cons mlishaitoa vyakutosha na watu wamesikia ila mkizidisha inakuwa kero kwakuwa too much of anything is harmful. Tunakuwa jinsia ya kutafuta huruma tu kila siku, that's stupidity.umejumuisha taasisi mbili tofaut Ndoa na Familia
NDOA sio FAMILIA familia inaweza kuwepo bira hyo ndoa na Ndoa inaweza kuwepo bira kua na familia
KATAA NDOAMpaka umeweza kutofautisha hizo taasisi mbili basi kwaujumla umeelewa point kuwa haulazimishwi kufanya lolote, fanya utakalo ila elimu mliyotaka kuitoa juu ya ndoa na pros na cons mlishaitoa vyakutosha na watu wamesikia ila mkizidisha inakuwa kero kwakuwa too much of anything is harmful. Tunakuwa jinsia ya kutafuta huruma tu kila siku, that's stupidity.
Sawa bossKATAA NDOA