Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

Kabisa na ndoa sio kutafuta mkamilifu Bali mkakamilishane hakuna perfect Dunia hii kilamtu anamapungufu yake
Na Mungu umuweka mkamilifu na asiyemkamilifu Ili wabalance,thus utaona mmoja mkali mwingine mpole,mmoja mshenzi mwingine muungwana.
 
Duh [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna ndoa nyingi Sana ambazo Hali ni shwari kabisa even after 15+ years. Vijana jaribuni kua positive kidogo na kupunguza matarajio kwa wenza wenu, nasemaje " lower your expectations"sababu binadamu hatabiriki.
Muombe Mungu akupe mwenza mtakae endana ila pia Ukimtaka mke/mume bila ya kasoro jichongee wa kwako/chagua useja.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
umejumuisha taasisi mbili tofaut Ndoa na Familia

NDOA sio FAMILIA familia inaweza kuwepo bira hyo ndoa na Ndoa inaweza kuwepo bira kua na familia
 
Utamjuaje kama huyu ndiye au siye aliye letwa na mnyaazi Mungu

KATAA NDOA
 
MUNGU alishampa red flags zakutosha.
bikiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

kwann tusrudi kwenye traditional system of marriage.
 
Utamjuaje kama huyu ndiye au siye aliye letwa na mnyaazi Mungu

KATAA NDOA
Inahitaji uwe na MACHO YA ROHONI.

Anawezwa akaletwa na Mungu na usigundue ukamuacha akaenda zake. Kwahiyo ni lazima na wewe uwe mtu wa maombi, siyo uende mbele za Mungu kwasababu una shida ya mke/mume tu!
 
Inahitaji uwe na MACHO YA ROHONI.

Anawezwa akaletwa na Mungu na usigundue ukamuacha akaenda zake. Kwahiyo ni lazima na wewe uwe mtu wa maombi, siyo uende mbele za Mungu kwasababu una shida ya mke/mume tu!
hayo macho ya rohoni ndio yapoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…