Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Kwa hiyo Makonda ndie aliyesababisha umaskini kwenye familia yako???

Unaacha kufanya kazi ujipatie kipato cha halali unapiga vuvuzela kwenye mitandao,

Ukiambiwa utoe maelezo yenye ushahidi kwanini Makonda akamatwe unaweza???
Siku zote Wapumbavu ni Kawaida Kuteteana.
 
Bahati mbaya sana unaamini TISS hawapo kwenye Jeshi la Polisi hawa jamaa wako kila sehemu kutegemea na mission aliyopewa kwa wakati huo

Sio kila mtu anaweza kuwa TISS ila kila TISS anaweza kuwa kila mtu i hope umeelewa.
Thanks very much for educating that Nut.
 
We jamaaa ni kilaxa kweli,unashindwa kuandika matatizo yanayotukumba watanzania kwa wakati huu kama mlipuko wa bei za bidhaa muhimu kwa wananchi na kupanda kwa gharama za maisha,unakuja kulalamikia mambo ya Makonda hapa?
Pumbavu Wahed Wewe kwani Wewe JamiiForums imekuzuia kuja na huo Uzi wa Kuelezea matatizo yanayoikumba Tanzania pamoja na huu Uwendaawazimu wako uliovuka Kiwango?
 
Hayati Mzee Samuel Sitta. Inajulikana.

sasa shida iko wapi kumbe unajua ni mtumishi na labda yote aliyafanya kama sehemu ya utumishi na bado ukimuona mahakamani inaweza kuwa sehemu ya ofisi yake....
 
Waliokuwa wanamtuma bado wapo madarakani kaondoka mmoja tu.Maybe wamemtorosha ili asije kuropoka.
 
Msuya Athumani kayumba sana hapaswi kuwa DG wa TISS kwa sasa, mambo yameenda mlama kwake. Abadilishwe upesi ili Tanzania iwe sehemu salama
 
Makonda hajatoweka, makonda yupo arusha. Unajua Kuna muda naona hata kubenea nae ni kama hili Jambo kaliweka kisiasa tu
Kuna Watu ni Wapumbavu hapa Tanzania hadi nasikitika kwanini Corona haikuondoka nanyi tu. Hivi kama Makonda wako yuko Mkoani Arusha angeshindwa kutokea Mahakamani bila kutoa Taarifa yoyote ya Udhuru?

Sasa kama Wewe Mpuuzi Mmoja kumbe uko nae hapo Kwako au Chumbani mmejifungia na Baridi hili mkifurahia Tendo la Bailoji kwanini hukuisaidia Mahakama na hizi Kelele za kwamba ametoweka nchini ziishe?
 
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa ............

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Mkuu @genta leo hujaitaja Rwanda..umeisahau mkuu...😂😂
 
UTAJIJU na kumtafuta Makonda(DAB)
 
Msuya Athumani kayumba sana hapaswi kuwa DG wa TISS kwa sasa, mambo yameenda mlama kwake. Abadilishwe upesi ili Tanzania iwe sehemu salama
Tena hili naomba lifanyike haraka sana.
 
Sawa mtaalam wa maswala ya security hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…