Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

hadi wakati huu mali zake zinatakiwa ziwe zimekuwa traced, ili aje atueleze alizipataje. huyu ana mengi ya kuwajibu watanzania walioumizwa sana moyo enzi zile.
Precisely ila akihukumiwa Kunyongwa itapendeza zaidi.
 
Wanamamlaka ya kutoa taarifa sehemu husika.
 
Makonda akipelekwa mahakama TISS itachafuka maana kila mmoja anamjua mwenzake ndani nje zikiwemo operation zote nani alimuua nani kwa maagizo ya nani.
Wanaogopa mropoko wa sabaya kuharibu kambi, kilichomfunga sabaya ni ukosefu wa kifua cha kubeba Siri kutoa hadharani Siri ya waliomtuma ndipo kumemmaliza Ili wajitenge nae asingetoa Siri asingefungwa, so TISS wamejifunza kea sabaya so uenda makonda wakammaliza Ili kuficha siri au wakapiga danadana kumpeleka mahakamani, kumbuka alikuwa ni mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa so Siri zote anazo atamwaga mboga so wataamua ya nilinde nikulinde.
Napata picha bashite Katu hawezi panda mahakamani Ili kuficha siri za uovu wa awamu iliyopita, maana KILA kitu kitakuwa wazi. Kama tunavyoona kwenye kesi ya Mbowe imetusaidia Sana kuwajua vinara wa wasiojulikana.
Bashite hawezi panda mahakamani kwa public interest so wataziba masikio au watammaliza.
But according to the law's of nature ni lzm bashite avune mapando yake hii ni nature.
 
ndio ile ford ranger ya njano aliyoonekana mtaani akiiendesha....kwa kujifanya yeye tiss anatokea popote watu wasipomtarajia.
Ile alimpora tajiri wa nas kwa kumbambika kesi ya unga enzi zile uswahiba na jiwe Moto moto
 
Katu hawawezi ruhusu bashite apande mahakamani Ili asimwage mboga maana hana cha kupoteza. Itabakia ya Nilinde nikulinde.
 
Endelea kusubiri na kutamani
 
Kwa hiyo Makonda ndie aliyesababisha umaskini kwenye familia yako???

Unaacha kufanya kazi ujipatie kipato cha halali unapiga vuvuzela kwenye mitandao,

Ukiambiwa utoe maelezo yenye ushahidi kwanini Makonda akamatwe unaweza???
Hahaa atawezea wapi? Hapo bamdo lenyewe kasongesha apunguzie stress JF
 
Sikumbuki ni lini Mightier Mimi nimepata BAN hapa JamiiForums kwani najua vyema Mipaka na Maadili ya Jukwaa hili.

Endeleeni tu kudhani na kuota kuwa Mimi ndiyo huyo ( yule ) Basha wenu ambaye Kutwa hamchoki tu Kumtaja na Kumuwazia hapa JamiiForums.

Wewe na Gentemacy mtakuwa na undugu kidogo?
 
Nikiwa DG wa TISS nitahakikisha zile TISS imara za Nyerere na Mkapa hasa Kiutendaji na Kiumakini zinarejea huku nikiongezea na Utaalam wa sasa wa Israel, Rwanda na China.
Rwanda hawana lolote kwenye inteligencia. Wao kazi ni moja tu, kukufuta huko uliko na kukumiminia risasi.
 
Rwanda hawana lolote kwenye inteligencia. Wao kazi ni moja tu, kukufuta huko uliko na kukumiminia risasi.
actually kuwa na intelijensia nzuri inahitaji uwekezaji/pesa, manake inainvolve hata kulipa pesa mamluku toka kwako kwenda mataifa mbalimbali na hata wale wa kulekule. ndicho wanachofanay marekani, kuna wapelelezi wengine wa kimarekanini watanzania wenzetu na wanapokea mpunga kuisaliti nchi (hawajui adhabu yake ni kubwa sana wakikamatwa). kwa wazungu, hao unaona wanajifanya wanaleta NGO na wengine watalii, wengi ni wapelelezi. wazungu wachache sana wanaipenda africa. na Rwanda hana hela kuafford yote hayo, ni upelelezi huu wa kawaida tu huu.
 
Guys I'm sick and tired of you so often thinking I'm that Genta whom you love mostly and probably most of you would wish to be married with him.
How do u know it is "him" and not "her" if u r not the one?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…