Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

hadi wakati huu mali zake zinatakiwa ziwe zimekuwa traced, ili aje atueleze alizipataje. huyu ana mengi ya kuwajibu watanzania walioumizwa sana moyo enzi zile.
Precisely ila akihukumiwa Kunyongwa itapendeza zaidi.
 
Nafikiri kinachofuatwa sasa ni utaratibu tu asipotokea tena bas mahakama itatoa hati ya kukamatwa kwake...

Sio kila kitu ni lazma TISS wahusike navyo kwa maana hata jurisdiction ya TISS haiwapi mamlaka ya kukamata Mtuhumiwa zaidi ni Jeshi la Polisi tu.
Wanamamlaka ya kutoa taarifa sehemu husika.
 
Makonda akipelekwa mahakama TISS itachafuka maana kila mmoja anamjua mwenzake ndani nje zikiwemo operation zote nani alimuua nani kwa maagizo ya nani.
Wanaogopa mropoko wa sabaya kuharibu kambi, kilichomfunga sabaya ni ukosefu wa kifua cha kubeba Siri kutoa hadharani Siri ya waliomtuma ndipo kumemmaliza Ili wajitenge nae asingetoa Siri asingefungwa, so TISS wamejifunza kea sabaya so uenda makonda wakammaliza Ili kuficha siri au wakapiga danadana kumpeleka mahakamani, kumbuka alikuwa ni mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa so Siri zote anazo atamwaga mboga so wataamua ya nilinde nikulinde.
Napata picha bashite Katu hawezi panda mahakamani Ili kuficha siri za uovu wa awamu iliyopita, maana KILA kitu kitakuwa wazi. Kama tunavyoona kwenye kesi ya Mbowe imetusaidia Sana kuwajua vinara wa wasiojulikana.
Bashite hawezi panda mahakamani kwa public interest so wataziba masikio au watammaliza.
But according to the law's of nature ni lzm bashite avune mapando yake hii ni nature.
 
ndio ile ford ranger ya njano aliyoonekana mtaani akiiendesha....kwa kujifanya yeye tiss anatokea popote watu wasipomtarajia.
Ile alimpora tajiri wa nas kwa kumbambika kesi ya unga enzi zile uswahiba na jiwe Moto moto
 
Katu hawawezi ruhusu bashite apande mahakamani Ili asimwage mboga maana hana cha kupoteza. Itabakia ya Nilinde nikulinde.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Endelea kusubiri na kutamani
 
Kwa hiyo Makonda ndie aliyesababisha umaskini kwenye familia yako???

Unaacha kufanya kazi ujipatie kipato cha halali unapiga vuvuzela kwenye mitandao,

Ukiambiwa utoe maelezo yenye ushahidi kwanini Makonda akamatwe unaweza???
Hahaa atawezea wapi? Hapo bamdo lenyewe kasongesha apunguzie stress JF
 
Sikumbuki ni lini Mightier Mimi nimepata BAN hapa JamiiForums kwani najua vyema Mipaka na Maadili ya Jukwaa hili.

Endeleeni tu kudhani na kuota kuwa Mimi ndiyo huyo ( yule ) Basha wenu ambaye Kutwa hamchoki tu Kumtaja na Kumuwazia hapa JamiiForums.

Wewe na Gentemacy mtakuwa na undugu kidogo?
 
Nikiwa DG wa TISS nitahakikisha zile TISS imara za Nyerere na Mkapa hasa Kiutendaji na Kiumakini zinarejea huku nikiongezea na Utaalam wa sasa wa Israel, Rwanda na China.
Rwanda hawana lolote kwenye inteligencia. Wao kazi ni moja tu, kukufuta huko uliko na kukumiminia risasi.
 
Rwanda hawana lolote kwenye inteligencia. Wao kazi ni moja tu, kukufuta huko uliko na kukumiminia risasi.
actually kuwa na intelijensia nzuri inahitaji uwekezaji/pesa, manake inainvolve hata kulipa pesa mamluku toka kwako kwenda mataifa mbalimbali na hata wale wa kulekule. ndicho wanachofanay marekani, kuna wapelelezi wengine wa kimarekanini watanzania wenzetu na wanapokea mpunga kuisaliti nchi (hawajui adhabu yake ni kubwa sana wakikamatwa). kwa wazungu, hao unaona wanajifanya wanaleta NGO na wengine watalii, wengi ni wapelelezi. wazungu wachache sana wanaipenda africa. na Rwanda hana hela kuafford yote hayo, ni upelelezi huu wa kawaida tu huu.
 
Guys I'm sick and tired of you so often thinking I'm that Genta whom you love mostly and probably most of you would wish to be married with him.
How do u know it is "him" and not "her" if u r not the one?
 
Back
Top Bottom