Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
Na ndiyo jukumu ka kwanza la TISS kunusa na kuhakikisha usalama wa nchi na Sponsor (Rais)TISS ya Mzee Mchonga ilikuwa usalama wake binafsi zaidi dhdi ya majaribio ya kumpindua
Unalalamika nini!!!?? Kama hana hatia mahakama itamsafisha.Kwa hiyo Makonda ndie aliyesababisha umaskini kwenye familia yako???
Unaacha kufanya kazi ujipatie kipato cha halali unapiga vuvuzela kwenye mitandao,
Ukiambiwa utoe maelezo yenye ushahidi kwanini Makonda akamatwe unaweza???
Hayati Magufuli alitutukana sana watanzania kwa kumteua Askari Polisi Diwani kuwa mkuu wa kitengo, yale yalikuwa matusi kwa Idara nzima.
mmh!!! najiuliza kwa nini TISS wamtafute makonda labda kama kuna tuhuma zingine sisi hatuzijui lakini kama kesi iliyopo mahakamani ni mahakama na polisi ndio wanapaswa kumtafuta sio TISSNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
tiss ndio wahusike kwenye kila kitu hadi ambavyo vinawahusu policeNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Ile idara ina kazi nyingi sana,yaani iache zake ije kufanya kazi ya ukamataji?,unajua majukumu ya hiyo idara?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.
Kama ilishindwa kwann isipewe lawama kwamba pia ni sehemu ya uovu
Ilishindwa vipi kuuondoa uovu hata kwa assassination of source of evil.Mkuu, tuhuma dhidi ya Makonda ni jinai kama zilivyo jinai zingine kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu.
Criminal justice system ya kushughulikia jinai za namna hiyo ipo wazi:
1) Polisi (ukamataji/arrest);
2) Ofisi ya upelelezi makosa ya jinai (DCI);
3) Ofisi ya mwendesha mashtaka kwa niaba ya Jamhuri (DPP).
Huo ndiyo mfumo au machinery kudeal na tuhuma za jinai kama za Makonda ama raia mwingine yeyote.
Sasa hapo, TISS inaingiaje hadi muibebeshe hizi lawama zenu mbofu mbofu?
Mkuu, ni matuini yangu kuwa una akili timamu.
-Kaveli-
Ilishindwa vipi kuuondoa uovu hata kwa assassination of source of evil.
Hakuna namna yeyeto ya kuepusha na lawama
Kufumbia macho upuuzi wa mpumbavu mmoja alieyeongeza idadi ya mayatima na wajane. Kushindwa kulinda haki ya kuishi.Uovu upi?
-Kaveli-
Nimekwisha kukuonya, lakini naona haunielewi, sasa endelea kunichongolea huo mdomo wako!Its very normal for the Certified Nitwits to support each other as you did. Congrats..!!!
Haaahaaa!!Nakuomba PM tuyajenge.
Thanks !
Alimuua Nani?Tulia uone,huyo muuaji lazima atundikwe msalabani hawezi pingana na nature.
Aisee wanaojua uadilifu wa huyu jamaa wakikusoma humu itakuwa wanakushangaa sana. Au ndio ile dhana kuwa huwezi kusifiwa na Wote.Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.