Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Hayati Magufuli alitutukana sana watanzania kwa kumteua Askari Polisi Diwani kuwa mkuu wa kitengo, yale yalikuwa matusi kwa Idara nzima.
 
Kwa hiyo Makonda ndie aliyesababisha umaskini kwenye familia yako???

Unaacha kufanya kazi ujipatie kipato cha halali unapiga vuvuzela kwenye mitandao,

Ukiambiwa utoe maelezo yenye ushahidi kwanini Makonda akamatwe unaweza???
Unalalamika nini!!!?? Kama hana hatia mahakama itamsafisha.
 
Hayati Magufuli alitutukana sana watanzania kwa kumteua Askari Polisi Diwani kuwa mkuu wa kitengo, yale yalikuwa matusi kwa Idara nzima.

Nani kakwambia Diwani hakua Mwana idara? Wewe ni mkewe,baba ake au mama yake kiasi kwamba unajua plan zake alikopita na alipofanya kazi

Hacha kuunganisha vitu vya uongo
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
mmh!!! najiuliza kwa nini TISS wamtafute makonda labda kama kuna tuhuma zingine sisi hatuzijui lakini kama kesi iliyopo mahakamani ni mahakama na polisi ndio wanapaswa kumtafuta sio TISS
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
tiss ndio wahusike kwenye kila kitu hadi ambavyo vinawahusu police
 
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.
Kama ilishindwa kwann isipewe lawama kwamba pia ni sehemu ya uovu

Mkuu, tuhuma dhidi ya Makonda ni jinai kama zilivyo jinai zingine kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu.

Criminal justice system ya kushughulikia jinai za namna hiyo ipo wazi:

1) Polisi (ukamataji/arrest);

2) Ofisi ya upelelezi makosa ya jinai (DCI);

3) Ofisi ya mwendesha mashtaka kwa niaba ya Jamhuri (DPP).

Huo ndiyo mfumo au machinery kudeal na tuhuma za jinai kama za Makonda ama raia mwingine yeyote.

Sasa hapo, TISS inaingiaje hadi muibebeshe hizi lawama zenu mbofu mbofu?

Mkuu, ni matumaini yangu kuwa una akili timamu.

-Kaveli-
 
Mkuu, tuhuma dhidi ya Makonda ni jinai kama zilivyo jinai zingine kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu.

Criminal justice system ya kushughulikia jinai za namna hiyo ipo wazi:

1) Polisi (ukamataji/arrest);

2) Ofisi ya upelelezi makosa ya jinai (DCI);

3) Ofisi ya mwendesha mashtaka kwa niaba ya Jamhuri (DPP).

Huo ndiyo mfumo au machinery kudeal na tuhuma za jinai kama za Makonda ama raia mwingine yeyote.

Sasa hapo, TISS inaingiaje hadi muibebeshe hizi lawama zenu mbofu mbofu?

Mkuu, ni matuini yangu kuwa una akili timamu.

-Kaveli-
Ilishindwa vipi kuuondoa uovu hata kwa assassination of source of evil.
Hakuna namna yeyeto ya kuepusha na lawama
 
Ukiwasababisha watu ujane na uyatima machozi yao yatakuandama maisha yako yote.
 
Akiwa kama Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ye ndie anajua walipo ben na Azory
 
kama huna kazi za kufanya ndio utahangaika na huu upuuuuuuuuuuuziiiiiiiiiiii.
 
Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.
Aisee wanaojua uadilifu wa huyu jamaa wakikusoma humu itakuwa wanakushangaa sana. Au ndio ile dhana kuwa huwezi kusifiwa na Wote.
 
Back
Top Bottom