Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Wee jamaaa ulikwepo kwichwani kwangu hafu siwezagi kufanya vitu robo robo asee
 


Ni umaskini ndugu ukiona hivyo idadibya watz wengi ni maskini hasa wanawake. MTU aliyezaliwa na kukulia kwenye nagari hawezi ona gari ni kitu cha ajabu. Umaskini ni kitu kibaya sana tupige vita umaskini
 
Wengi wao hushobokea sana magari, japo wapo wanaojitambua pia, respect kwao.
 
sio tu kivutio kwa wanawake bali jamii nzima
 
yaan mtu utumia bando kupiga misimu kila saa,,mara ununue mafuta ya gari,dinner,vinywaji na ulipie hotel ndo dem anakuona unamridhisha,kwa stahili hii hamtaolewa,,ukiwa maskini hugegedi,,sasa acha tuzisake
wasioolewa hao wanaoshoboka na magari yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…