Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Mmm udhi wawenyewe huu ujue utakua huru kweli?Haha hahaaaa... Asante shemelaa..
Hapa hapa tu panatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmm udhi wawenyewe huu ujue utakua huru kweli?Haha hahaaaa... Asante shemelaa..
Hapa hapa tu panatosha
Mkuu mi naona ombi langu hailitekelezwi la picha hili lingenipa kujua wapo au hawapoNdonwengi huko ila hajui tu
Kivipi tena na kasema anapima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah! Mkuu kuwa makini aisee
Std'sKivipi tena na kasema anapima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah! Mkuu kuwa makini aisee
Wee jamaaa ulikwepo kwichwani kwangu hafu siwezagi kufanya vitu robo robo aseeCha muhimu ni kuwa na chanzo cha kipato. Ukiwa na uhakika wa kipato kuanza na nyumba au gari ni uamuzi wa mtu. Watanzania wengi wanajenga nyumba taratibu,nyumba inachukua hadi miaka mitano kwisha. Sasa miaka yote mitano hii uteseke na usafiri wa bongo kisa nyumba?
Kama una visenti nunua usafiri then anza kujenga taratibu, tuache uoga wa maisha.
Nimeitoa insta hukoohahaaaa,,avatar yako inashawishi balaa
Sijui kwa wengine hili limekaaje ila binafsi naona gari nalo ni kivutio kwa hawa dada zetu, Kuna binti hapa mtaani enzi hizo sina gari aliniwekea ngumu ila mwaka jana nilivyomiliki gari yani alilegeza hata sikuamini,
I mean kuna siku kuna bidada anajiheshimu sana tu nlimpa lifti tukabadilishana contacts kesho yake kiutani nikamwambia tumeet akakubali fasta yani nikawa nacheka tu maana ilikuwa natania,
Kuna matukio mengi sana ambayo yalinithibitishia kuwa hawa dada zetu wana kaugonjwa kwa wanaume wenye magari, Japo haya matukio huwa yananitokea mimi najiheshimu na nampenda sana mpenzi wangu sipo tayari kutake advantage kwa hawa mabinti wa lifti,
So mimi ninachokiona kuna uwezekano mkubwa kwamba ukiwa na Gari wanawake utakuwa kivutio kwao....Ni fikra tu
Mkuu chura nikalio lililo zidi kwa wa dadaMkuu mi naona ombi langu hailitekelezwi la picha hili lingenipa kujua wapo au hawapo
sio tu kivutio kwa wanawake bali jamii nzimaSijui kwa wengine hili limekaaje ila binafsi naona gari nalo ni kivutio kwa hawa dada zetu, Kuna binti hapa mtaani enzi hizo sina gari aliniwekea ngumu ila mwaka jana nilivyomiliki gari yani alilegeza hata sikuamini,
I mean kuna siku kuna bidada anajiheshimu sana tu nlimpa lifti tukabadilishana contacts kesho yake kiutani nikamwambia tumeet akakubali fasta yani nikawa nacheka tu maana ilikuwa natania,
Kuna matukio mengi sana ambayo yalinithibitishia kuwa hawa dada zetu wana kaugonjwa kwa wanaume wenye magari, Japo haya matukio huwa yananitokea mimi najiheshimu na nampenda sana mpenzi wangu sipo tayari kutake advantage kwa hawa mabinti wa lifti,
So mimi ninachokiona kuna uwezekano mkubwa kwamba ukiwa na Gari wanawake utakuwa kivutio kwao....Ni fikra tu
Mkuu picha naomba ili niangalie kwa usahihi hiyo churaMkuu chura nikalio lililo zidi kwa wa dada
Kabisa!!! Au ni rahisi kukuacha na kwenda kwa mwenye gari zuri zaidi na lakwakoKwa hiyo akikupenda kwa kuwa una kitu Fulani kikiisha atasepa au
Khaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]tunapimaga,,,,siwezi vaa nailon mm..laza ntaipaje,,,,,joto lake ni extra ordinary na anapnda show nefu za kibabe,,na yeye anapena uji wangu pia
Duuuh kweli dunia ina mengiKabisa!!! Au ni rahisi kukuacha na kwenda kwa mwenye gari zuri zaidi na lakwako
wasioolewa hao wanaoshoboka na magari yenuyaan mtu utumia bando kupiga misimu kila saa,,mara ununue mafuta ya gari,dinner,vinywaji na ulipie hotel ndo dem anakuona unamridhisha,kwa stahili hii hamtaolewa,,ukiwa maskini hugegedi,,sasa acha tuzisake
nan wa chugaMbona kama si wachuga huyu au amekulia pwani?
sawa endelea kutafuta utapataNatanguliza jibu langu mii awepo wa kushika tu
hhahhahahhhMkuu wanaweza wakawepo ila sijui kuwa ni chura au ndo maana nimeomba picha ya huyo chura