Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Na hili suala inaelekea pope alishaanza kuwafunza mapadre muda ndio maana kesi za ulawiti zimelichafua sana kanisa katoliki.
 
Nani kasema ushoga mtu anazaliwa nao??
Mimi nimeandika mashoga ni binadamu kama wewe na mimi au wao ni panya??
Sijaelewa umeelewa vipi mkuu, ni sawa na kusema wezi, majambazi, wauwaji wote ni binadamu kama mimi na wewe.

Umeelewa tofauti tu wala sijagusia mambo ya kuzaliwa nao sijui tabia.
 
Kitu gani hapo nimeandika hadi useme sipo serious??

Nani kasema ushoga sio kitendo kibaya??
Kama wasipotubu na injili wameisikia ni jambo la wao na Mungu wao mkuu.
Ila sio kujifanya hamuwapendi ilhali ni ndgu zenu huko mtaani, muwaombee watoke huko na sio kuwapa uhuru wa dunia ya peke yao.
 
Sasa kwanini maandiko ya kitabu chao yanapinga ushoga na Papa ana support?
Kwani maandiko hayapingi wizi, ulafi, uuaji, uongo,uzinzi nk na je vipi hao watu hawasali makanisani??

Mimi point yangu ni kua wasaidiwe waondoke huko, wasitengwe na kuchukiwa, kutolewa matamko makali makali hayalifanyi kanisa kua safi, kanisa lipo kwa ajili ya kuwakumbusha watu wa namna hiyo wamrudie Mungu.

Tatizo la wengi ni kutaka kuona papa akikemea kwa maneno makali, kuwalaani vilivyo hata ikiwezekana awafungulie mashtaka kabisa ila hapana hawa watu wana tatizo inabidi wasaidiwe.
 
Lakini hawafundishwi kuiba...
 
Hawa wangekatwa vichwa kwa kuhama kutoka utu kwenda ushoga.
Shaga siyo binadamu kama wengine, kwani wewe unajiona sawa na shoga?
Ni binadamu kama ulivyo wewe pia sio mimi tu.

Uwezo wa kuwakata vichwa hamna ila uwezo wa kuwarudisha waache hizo dhambi mnao.
 
Mlango wa kuzimu wa Francis upo wazi muda wote shetani anaingia na kutoka.
 
Wazungu hawaamini ushoga ni tatizo, Papa ni mzungu na anaishi na wazungu wenzake, mnaompa shida ya kuruhusu ushoga ni Wakatoliki wa Africa na Asia.
 
Wazungu hawaamini ushoga ni tatizo, Papa ni mzungu na anaishi na wazungu wenzake, mnaompa shida ya kuruhusu ushoga ni Wakatoliki wa Africa na Asia.
Ushoga ni tatizo, wao uhuru umezidi huko kwao.

Na hawajaanza hizo mbaga juzi ni kitambo hicho wanayafanya na kulegalize kabisa.
Sijui kama wanakemea au hata kuasa watu waachane nao huko kwao.
 
Acha kuwatetea kitendo wanachokifanya usiwatetee japo ni binaadam ila wana kiuka uhuru waliopewa mbona mbuzi na ng'ombe wao hawana izo ila ss binaadam kamili ndio tunafanya ushenzi huo, acha kuwatetea kemea inapobid , nadhan ww unandugu au mtt shoga huna budi tuu kuwatetea ila endelea tuu , unakinzana na kaulizako au upokoment huwa huangalii we unapost tuu , kweli Watu pipo tupo tofauti jaribu kusoma unachandika b4 posting....!!?
 
Write your reply...Wakristo Huwa Mnakawaida Ya kuikana Na Kuikubali Bible Kuna Mambo Mnayakubali Mengine Mnayakataa Ndo Shida Hiyo.
Hakuna Mkristo shahidi mwaminifu kwa Yesu Kristo anayeikana bible.
 
Ushoga ni tatizo, wao uhuru umezidi huko kwao.

Na hawajaanza hizo mbaga juzi ni kitambo hicho wanayafanya na kulegalize kabisa.
Sijui kama wanakemea au hata kuasa watu waachane nao huko kwao.
Dar imewahi kuwa na sheikh wa mkoa shoga na hakuwahi kukemewa kokote na vingozi au waumin wenzake na linajulikana kabisa punga lile
Kuna kiongoz tena mkubwa sana ni sagaj la kufa mtu
Lakini hutosikia wabongo wakiwakemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…