Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

usitarajie kupata mchanganuo hapa,watakudanganya tu
Kuna siku nilikua naongea na mtu haya mambo ya kipato, akawa ananipigia hesabu kiukweli ni za kufikirika, eti sukari kwa mwezi kilo 1 hivi kilo moja ya sukari inakataje mwezi jamani kwenye familia?

Ndio zile hesabu za shamba unaweka milioni moja unalima unapanda unavuna faida unapata mil 13 ukitoa garama nyingine unabaki mkononi na m12
 
210k, una familia, hivi unaishije serious....japo nami naishi ila sijui naishije 😂😂😂 nadhani huu ni muujiza tosha, sihitaji miujiza tena kwenye maisha yangu
mi nadhani ni kuishi kwa kiwango chako tu
ndo pale unakuta mtu ana familia lakini kapanga chumba kimoja
no breakfast ni mambo ya pasi ndefu

mtu anaenda gengeni na 2000 anapata lunch kabisa
 
inawezekana ila nina watu nafahamu wanalipwa 180,000 kazini anaingia saa 1 asubuhi anatoka saa 12 jion
hapo anaweza kufanya chochote kweli?
kazi za viwandani
Aisee. Ila kweli watakua wameji-tune.

Ila mimi nilivomaliza chuo nilipata kazi kwa wahindi nikiwa home mkoa, wakasema nije Dar nikaja wakasema 300,000 kwa mwezi. Niliona kubwa kwa ku compare na maisha ya mkoa. Ila nilipoelezwa na mtu, nikaona haitoshi aisee.
 
40 kwa mwezi anko....
Gas kwa mwezi ni 50000
Maji 50000 (hapa nimepunguza)
Umeme 30000

Nyingine najaziaje
 
maybe kama ni wale watu wasiotumia sukari jaman
pengine alikuelezea kulingana na urefu wa kamba yake 😀
 
maybe kama ni wale watu wasiotumia sukari jaman

pengine alikuelezea kulingana na urefu wa kamba yake 😀

Hata kama hatumii yeye, kuna familia watoto unavojua chai asubuhi chai jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…