Kwamba tusikosoe yale ambayo tunaona yamepotoshwa kwasababu tutaonekana tuna akili sana??Nachoeleza ndio uhalisi kwa ushahidi wa aina ya majadiliano yenu yanavyokuwa huwa mnajionyesha wazi, mnawachukulia wanaoamini Mungu ni kama watu wasio na maarifa ya kutosha na wasiofuata sayansi. Mbona lipo wazi hili halifichiki naeleza ukweli kama ambavyo nawe unaeleza unachoona ni ukweli.
Unazungumzia maonyesho mambo ya mazingaombwe ila mimi nakusudia mambo ambayo yapo kwenye jamii hayapo kwenye maonyesho, nazungumzia mambo ambayo yana husiana na maisha halisi ya watu ya kila siku.Uchawi ni nini?
Unajuaje ni uchawi katika form ya supernatural na sio some tricks tu ambazo hujazijua zinafanyikaje??
Hayo matukio ambayo pengine unadhani ni ushahidi wa kutosha kuonesha uchawi upo na unahisi Atheists wakioneshwa watapinga, hivi unajua most of hayo matukio yanafanywa na Atheists??
James Randi huyu ni magician ambaye ni maarufu sana na alitambulika zaidi kwa jina la mchawi.
Mara kadhaa alikuwa akisema kuwa anachokifanya sio uchawi bali ni tricks tu ambazo kila mtu akifundishwa anafanya.
Aliwahi kumuumbua magician mmoja anaitwa Uri Geller ambaye alikuwa akijinasibu kuwa ana uwezo wa kupindisha kijiko cha chuma kwa kukiangalia tu kupitia nguvu zake za uchawi
View attachment 3178710
James Randi alikuja kum expose Geller alipotoa elimu ya namna ya kuweza kutengeneza hicho kijiko chenye kuleta hiyo effects kupitia sleight of hand.
Suala la wakristo na waislamu husemana kuhusu shule kwa maana wakristo huona waislamu wengi hawazingatii shule ila atheists wao ni zaidi hapo wao kwa maana hujiona ni bora na kuliko wote hao kwa tu wao hawaamini Mungu hivyo wana maarifa ambayo waamini Mungu hawana.Kwamba tusikosoe yale ambayo tunaona yamepotoshwa kwasababu tutaonekana tuna akili sana??
Nimekuwekea mfano hapo wa namna waislamu wengi wanaamini wakristo wanajiona wana akili sana kuliko waislam kwa fact ya waislamu wengi kuendekeza madrasa badala ya elimu dunia.
Hiyo nayo unaiongeleaje?
Wewe acha porojo, msingi wa atheists sio imani ni kujua. Atheist wao hawapingi unayoita miujiza au mambo unayoita ni uchawi ila wanataka uthibitisho kwanza wa mambo yenywewe halafu kama ni kweli uthibitisho pia kwamba mungu au shetani wapo na ndio wanasababisha hayo mambo.Hata huko kusema atheists wanataka uthibitisho ukianglia vizuri ni kwamba wanajizuia kwa kutokukubali au kutaka kujifunza chochote kwa kigezo hakuna uthibitisho, ukiangalia hata hiyo mifano uliyoiweka na jinsi ulivyoeleza ni wazi ni mambo ambayo unapinga kwa sababu ya kusimamia huo msimamo wa kwamba hakuna uthibitisho ila si kwamba unapinga kwa sababu unaelewa ukweli wa hayo mambo.
Sasa ndio unakuta mtu alikuwa anaamini Mungu na hayo mambo ya uchawi na miujiza ila ikitokea ameona imani ya Mungu si ya kweli basi akitaka kuwa atheist basi atalazimika kushikilia huo msimamo wa kudai uthibitisho na hivyo atapinga na hayo mengine yote kwa sababu tu kuna atheist hawaamini supernatural.
Kutofungamana na imani yeyote ni tofauti na kusema wazi kuwa hakuna Mungu, mtoto mdogo sio kwamba hafungamani na imani yeyote bali haelewi lolote hata uwepo wa imani zenyewe.Kuwa Atheist sio mpaka ujue Atheist ni nini.
Kuwa Atheist ni kuishi katika misingi ambayo haufungamani na imani yoyote eidha kwa kujua au kutojua.
Maana yake hata wewe kipindi uko mtoto ulikuwa Atheist.
Baada ya wazazi wako kuku-feed indoctrinations ndio ukaja kuhasi na kuwa Theist.
Atheists sio mpaka apinge ndio aonekane ni Atheist. Tafadhali usipotoshe maana halisi ya Atheism.
Kwasababu hata wewe zipo imani nyingi unazipinga, je inakufanya uwe Atheist??
Kwani hayo mazingaombwe hayafanyiki kwenye jamii?Unazungumzia maonyesho mambo ya mazingaombwe ila mimi nakusudia mambo ambayo yapo kwenye jamii hayapo kwenye maonyesho, nazungumzia mambo ambayo yana husiana na maisha halisi ya watu ya kila siku.
Uchawi haujaanza jana wala juzi kama hizo tricks basi hadi leo kila mtu angekuwa anazijua. Masuala magician na tricks zao yanajulikana ila kila siku mnatoa mifano yenu ile ile michache kuitumia kuhitimisha kuwa uchawi nao ni suala la tricks tu zisizojulikana.
Kwa hiyo wakristo wanakuwa wanaongea ukweli kuhusu swala hilo?Suala la wakristo na waislamu husemana kuhusu shule kwa maana wakristo huona waislamu wengi hawazingatii shule ila atheists wao ni zaidi hapo wao kwa maana hujiona ni bora na kuliko wote hao kwa tu wao hawaamini Mungu hivyo wana maarifa ambayo waamini Mungu hawana.
Sijakukataza kukosoa hata mimi nakosoa pia, sidhani kama nachoeleza si ukweli.
Mbona unachoeleza ndio hivyo hivyo, kwa sababu kama mmejiwekea sharti la kwamba ili mkubali kitu lazima kuwepo uthibitisho maana yake mnakataa hata vilivyo vya kweli kwa sababu tu vimekosa kuthibitishika. Mfano mie niwe mwanafunzi kweli halafu nivae nguo za nyumbani kisha nikapande daladala bila kitambulisho nitashindwa kuthibitisha kuwa ni mwanafunzi kwa konda.Wewe acha porojo, msingi wa atheists sio imani ni kujua. Atheist wao hawapingi unayoita miujiza au mambo unayoita ni uchawi ila wanataka uthibitisho kwanza wa mambo yenywewe halafu kama ni kweli uthibitisho pia kwamba mungu au shetani wapo na ndio wanasababisha hayo mambo.
Kama kweli mtu anapaa na ungo wanataka uthibitisho kwamba ni shetani anamuwezesha kupaa na sio magic tricks za kawaida tu, aliens technology n.k
Unajua unashangaza sana ina maana unataka kutumia kisa cha Randi kufanya hitimisho kuwa hakuna uchawi au kwamba huwa kuna tricks pia?Kwani hayo mazingaombwe hayafanyiki kwenye jamii?
Hata mtu anaweza kufanya hizo tricks as homemade na bado haiwezi kubadilisha uhalisia kuwa ni uchawi .
Kinachobadilika ni mazingira lakini sio uhalisia wa tukio.
Na mind you. Huyo Randi hakuishia kuumbua wachawi tu hadi wale wachungaji waliokuwa wanajiita manabii.
Kuna mchungaji anaitwa Peter Popoff huyu alikuwa anasifika kwa uwezo wake wa kujua taarifa za mtu kabla hujamuambia.
Randi alikuwa kum expose na kuthibitisha kuwa sio swala la miujiza kama ambavyo waumini walikuwa wanaamini bali kuna earpice alikuwa akivaa
ambazo alikuwa akitumia kufanya mawasiliano na mkewe ambaye alikuwa anamsomea taarifa za hao watu.
Suala la wanachoongea ni kweli ama si kweli huo ni mjadala kabisa ila hivyo ndivyo wanavyosema.Kwa hiyo wakristo wanakuwa wanaongea ukweli kuhusu swala hilo?
Utajuaje kuwa hiki ni kitu cha kweli ila kimekosa tu uthibitisho wa kuonesha ni cha kweli au ni cha uongo na ndio maana hakuna uthibitisho kuonesha ni cha kweli?Mbona unachoeleza ndio hivyo hivyo, kwa sababu kama mmejiwekea sharti la kwamba ili mkubali kitu lazima kuwepo uthibitisho maana yake mnakataa hata vilivyo vya kweli kwa sababu tu vimekosa kuthibitishika. Mfano mie niwe mwanafunzi kweli halafu nivae nguo za nyumbani kisha nikapande daladala bila kitambulisho nitashindwa kuthibitisha kuwa ni mwanafunzi kwa konda.
Msingi wenu sio kujua bali ni kukubali kile tu kilichothibitika kisayansi na kusichothibitishwa kisayansi hamna interested nacho na kwa tafsiri nyengine hicho kitu huwa ni uongo moja kwa moja.
Natumia kisa cha Randi kukuonesha namna watu kama wewe waliokuwa wakiamini baadhi ya matukio kuwa ni ya uchawi wakati sio.Unajua unashangaza sana ina maana unataka kutumia kisa cha Randi kufanya hitimisho kuwa hakuna uchawi au kwamba unaonyesha kwamba kuna mambo huwa si miujiza bali ni tricks?
Chukua mfano mdogo tu kwamba huko zamani kabisa watu walitumia tiba zao za asili kutibu maradhi yao ila kama ungewauliza wakati huo waeleze na kuthibitisha jinsi hizo dawa zinavyoweza kutibu wasingeweza ila zilikuwa zikitibu, kukosa uthibitisho wa kisayansi kuelezea hizo tiba haikufanya kuwa hizo tiba hazikuwa za kweli.Utajuaje kuwa hiki ni kitu cha kweli ila kimekosa tu uthibitisho wa kuonesha ni cha kweli au ni cha uongo na ndio maana hakuna uthibitisho kuonesha ni cha kweli?
Kwani kwako inahitajika nini ili uweze kukubali kuwa jambo fulani ni la kweli?
Ndio maana nakwambia mimi nzungumzia uchawi kama kitu ambacho hufanyika katika maisha ya watu na sio maonyesho, uchawi ni kujua nini ufanye ili ipatikane athari gani sasa usiseme kwamba sio kila nisichokijua basi naita uchawi.Natumia kisa cha Randi kukuonesha namna watu kama wewe waliokuwa wakiamini baadhi ya matukio kuwa ni ya uchawi wakati sio.
Kupitia hoja yako uliyoijenga kuwa Atheists hata wakionshwa uchawi unavyofanywa watapinga mimi nimekujibu kwa mfano wa Randi kukuonesha kwamba si kila usichokijua kinafanyikaje basi jibu lake ni uchawi.
Hoja yao ni elimu kwamba waislamu wengi hawajaenda shule, je atheits hoja yao inayowafanya kuona wao wana maarifa sana kuliko wakristo na waislamu ni ipi?Sasa kama wakristo wanakuwa wanaongea ukweli bado utakuwa unaona sio sawa wao kujiona wana akili kuliko nyie?
Kwanza watu wa kale kutibu maradhi kwa mitishamba kulitokana na wao kuyafahamu vyema mazingira yaliyowazunguka.Chukua mfano mdogo tu kwamba huko zamani kabisa watu walitumia tiba zao za asili kutibu maradhi yao ila kama ungewauliza wakati huo waeleze na kuthibitisha jinsi hizo dawa zinavyoweza kutibu wasingeweza ila zilikuwa zikitibu, kukosa uthibitisho wa kisayansi kuelezea hizo tiba haikufanya kuwa hizo tiba hazikuwa za kweli.
Kuna mambo mengi tu ambayo hayajathibitika kisayansi kama Water dowsing njia ambayo zamani ilitumika sana kutafuta na kujua maji yaliyopo ardhini kwa aajiri ya kuchimba visima, ila hadi leo hakuna uthibitisho wa kisayansi wa water dowsing ila watu walitumia enzi hizo.
Hadi sasa Dowsing imeendelea na ina visa vikubwa tu vyenye kujulikana ila hakuna uthibitisho wa kisayansi.
Mtu anayeruka sarakasi kwenye jukwaa ambalo linatazamwa na mashabiki 1,000 na mtu ambaye anaruka sarakasi chumbani kwake akiwa peke yake.Ndio maana nakwambia mimi nzungumzia uchawi kama kitu ambacho hufanyika katika maisha ya watu na sio maonyesho, uchawi ni kujua nini ufanye ili ipatikane athari gani sasa usiseme kwamba sio kila nisichokijua basi naita uchawi.
Tunatofautiana hapa ni kwamba mimi naelewa kwa kuna uchawi na kuna tricks tu ila wewe unapinga na kutaka ionekane ni tricks tu ambazo hazijajulikana.