Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #61
Kwamba tusikosoe yale ambayo tunaona yamepotoshwa kwasababu tutaonekana tuna akili sana??Nachoeleza ndio uhalisi kwa ushahidi wa aina ya majadiliano yenu yanavyokuwa huwa mnajionyesha wazi, mnawachukulia wanaoamini Mungu ni kama watu wasio na maarifa ya kutosha na wasiofuata sayansi. Mbona lipo wazi hili halifichiki naeleza ukweli kama ambavyo nawe unaeleza unachoona ni ukweli.
Nimekuwekea mfano hapo wa namna waislamu wengi wanaamini wakristo wanajiona wana akili sana kuliko waislam kwa fact ya waislamu wengi kuendekeza madrasa badala ya elimu dunia.
Hiyo nayo unaiongeleaje?