Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Ni kweli tumekengeuka ila
Wapo walioona kabisa na ndoa zikavunjika ndio Hawa tunaozungumzia
 
Kwa kiwango gani mkuu hakuna mkamilifu
Hebu wekeni mbinu hapa

Na haitatokea watu tukafanana hata siku moja. Mimi binafsi nna mazuri yangu ambayo huenda asiwepo mwingine aliyenayo lakini pia nna set ya mabaya yangu mengi tu hauwezi kuyapata Kwa mwingine.

Sasa hapo ndio hua tunaangalia yapu yanazidi, wewe unahitaji kitu Gani na Je, utaweza kumudu hayo madhaifu machache ya mwenza wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…