Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

wanau

Wanaume hatusemagi hivyo,wanawake ndio sana,kwa mwanaume labda awe punguwani,

kabila gani hili mkuu,na pole kwa maswahibu,eh,watoto wana mkana baba ?watu mnapita mazito jamani,atakuwa mchaga huyo maana ndio mbanga zao hizo
Kwani kasema ni mchaga mkuu
Lakini kisa chake kinaumiza sana kinachoumiza hapo ni Watoto wake wamkane live live , kweli koseaa vyoteeee ila sio kuoa kuolewa
 
Upo sahihi umeeleweka vizuri
So mahusiano ni kujitoa na kuelewana na hapo kwenye kumuwazia mabaya mwenzio ndio sehemu kubwa ya maisha yetu vijana sio ndoa tu hata mahusiano

Wengi hatukubali kuwa positive kwenye mambo mengi ni kuwaza mabaya tu

Ukiamua kua positive kuhusu mtu au kitu, utaona Kila kitu ni chema, lakini ukiwa negative utajaribu kuhusianiaha mambo yote yaendane na negativity.

Unaweza kuambiwa Rafiki Yako ni mchawi, hapo hapo utaanza kuwaza mambo yaliyoputa unaona kama Kuna ukweli.
 
Kwa nilikopita, nikipata mume tunaeendana haki tena nitamtunza kama lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…