JOSEPHAT_07
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 303
- 181
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siijui lakini nakushauri uachane nayo.Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
Wanakomaga hawa 🤣Hamjakoma
Unaweka ngapi?..ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa..
Kuna levels kuanzia elfu 50hyo ni level 1.Unaweka ngapi?
Amini usiamini, hiyo 50k bora ukat#mbee tuKuna levels kuanzia elfu 50hyo ni level 1.
Em nielezee mm inakuwaje.. unahitaji nn kujiregisterUsiwasikilize wanjinga, mimi nina miezi miwil sahv nalipwa laki tano, ni bando langu tu
Njoo inbox ujiunge kupitia account yangu maana imeshakua verified utaanza kulipwa baada ya siku moja
😂😂😂Wajinga ndio waliwao