Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?
Status
Not open for further replies.
Hyo ni kampuni ya kipigaji , kampuni zote za namna hyo jitahd ujiunge ndani ya miezi 3-4 tangu kuingia kwake nchini , kampuni za namna hyo huwa zina life span ya mwaka mmoja au miwili , badae watu wengi wakishajiunga wanawalipua , wanasepa , wale wa mwanzoni watanufaika , hzi kampuni huwa zipo zipo tuu yaani unakuta msimamizi mmoja yupo marekani , mwingine sjui wapi , yaani coordination yake inakuwa imekaa kisanii zaidi, mnakuwa controlled only kwenye app na magroup ya watsap mixer na vitisho vingi kwa yule anayeonekana kuhoji hoji , kimsingi jamaa huwa wapo standby kusepa anytime.. na mifumo yao ya kutoa hela inakuwa very strictly na emphasize zao kubwa ni kukubana ulete watu main target yao ni hyo

hii kampuni nimeona ina miezi mitatu tangu ianze , uhakika wa kupiga hela upo Kwa sasa , ila kufikia mwakani mwez wa sita tutaongea story nyingine
 
Yaani wewe unamawazo kama yangu, Mimi mwenyewe ni member na ninalipwa 18,000 kila siku kwa kutizama movies 15 kwa sekunde kumi kumi tu, Hadi waamue kuchochola mie nitakuwa nimepiga zangu nyingi sana 😂😂
 
Tatizo wao ndio wanajua muda gani walianzishe, mara nyingine hata hiyo miezi 6 isifike. Hakuna tofauti na Aviator
 
Mimi nimeweka 50000 mpaka sasa nakula mpunga TU.tia kibunda Babu faida njenje
Screenshot_2024-11-15-18-04-31-513_com.whatsapp.jpg
 
Tatizo wao ndio wanajua muda gani walianzishe, mara nyingine hata hiyo miezi 6 isifike. Hakuna tofauti na Aviator
Hao wanachofanya ni illegal sababu wanafake view , anytime jamaa wakisanuka na wao wanapepea ,
 
LBL pesa iko nje nje, ndani ya siku 20 mie nimejiunga.
Niko huko ila soon watu watalia hasa wale watakaowekeza eti mwaka mzima unapata return ya 1600%.
haina tofauti na kalynda. wa kwanza kula wa mwisho kuliwa
 
LBL pesa iko, mimi nina siku 20 tu cheki mpunga huo
IMG_20241130_144505.jpg
 
Niko huko ila soon watu watalia hasa wale watakaowekeza eti mwaka mzima unapata return ya 1600%.
haina tofauti na kalynda. wa kwanza kula wa mwisho kuliwa
kuwekeza mwaka mzima kiaje? wewe umewekeza muda gani?
 
Mimi nimeweka ela ya kuchukua kila mwezi na nina account mbili na nishatoa ela niliyoweka nakula faida tu. Ila sialiki mtu kwa sababu najua muda wowote itabuma maana huu ni utapeli, ni pyramid scheme ya kuvutia watu. Wa kwanza kula wa mwisho kuliwa. si ya kwanza wala ya mwisho. ni same kabisa na kalynda na nyingine nyingi tu hata hii ikiisha itakuja nyingine.
Sasa wana scheme ya kuwekeza mwa miezi 3, 6 na mwaka ambapo faida utakuwa unaiona lakini huwezi kuitoa. ukiwekeza mwaka unapata return ya over 1600%, kwani celine hajakwambia kuhusu hili?
Sasa hapo ndipo nadhani wizi utakuwepo. Kuna watu wanaweza ahdi chukua mkopo waweke na watu hao ni kama wewe ambaye tayari wamekuonjesha asali, unaweka tusema milioni 5 ukitegemea kuvuna milion zaidi ya themanini na kitu. hizi utazikuta kwenye kipengele cha wealth fund.
Hapo ndipo watu watapigwa an kulia na ksuaga meno. Hawa na matapeli, wa kwanza kula wa mwisho kuliwa. LBL imeanza nadhani mwezi wa saba, hizi raha uanze nazo sio ishafikisha mieiz 6 unaweka ela nyingi kuna watakao kuja kulia. kama si sasa baadaye lakini ni utapeli.
 
Mimi niko kwenye P level tu sijawekeza kwenye wealth fund, Niko P3 mie kazi yangu ni kucheki trela tu na naingiza 21700 kila siku, nimeunga watu watano.
 
Mimi mwenyewe nina akaunti 3 za p3 ila nimeunga toka mwezi wa tisa ela nshazitoa nakula faida. ila siungi mtu kwa sababu najua wakati wowote kitabuma. Itaanza kwa kutoweza kutoa ela, mtaambiwa mtandao wao wana update, baadaye, mtandao utapotea, celine atawambia kuwa utarudi baada ya siku kadhaa. baadaye hata akaunti yake ya whatsapp itapotea. na kumbuka celine mle ana watu zaidi ya 1000, so kila mtu akipigwa laki na zaidi hapo tu ishafika milioni mia.
Yani hii ni kama kampuni ya 10 naifahamu na zote zinakuwaga hivi hivi na mwisho zinasepa na kijiji. Kalynda ndo ilidumu muda mrefu zaidi, na kuliza wengi zaidi. Ila waliotangulia kuingia walipita mpunga na wakaingiza wengine wakala ela za sub pia.
 
wewe umo tena kwa akaunti 3 afu unawatisha wenzio wasije ili ule pesa pekeyako!!, Mimi ninazo 2 zote P3 na nahamasisha watu watu waje tupige pesa kwa pamoja.
 
Najua itakavyoisha kwa sababu mimi nimeingia vikampuni uchwara vingi vya hivi na mwisho wake naujua. Sasa hivi kwanza siwezi mwalika mtu ajiunge kwasababu ishatimiza miezi kadhaa na muda wowote inaweza kubuma ikasepa na ela ya mtu akakulaumu. ndo maana sialiki mtu. hizo akaunti zangu nimejialika mwenyewe kutokea kwenye akaunti moja.
Yani unajikiona lbl ni kile kile cha kalynda tofauti huko ulikuwa unaambiwa na process orders, lbl unatazama video ambazo unakuta ni zile zile week nzima.
LBL unaambiwa kampuni imesajiliwa sijui london. Hivi kama uwekezaji ungekuwa rahisi hivi, unadhani balkshire wangeenda kuwekaza dollar milioni 260 kwenye kampuni ambayo faida yake itaanza kutengenezwa baada ya miaka 10 na huenda ikafa kwa sababu ni startup?
Nachosema, kama umewekeza huko kula ila kwa kuita watu wakaweka pesa kuna ambao wataweka na itabuma kabla ya hata kurudisha fedha yao na watakulaumu. Mimi ni mtu ambaye sipendi lawama. Na nimeweka fedha nikijua risk zake.
Pia ingelikuwa ni kampuni genuine ela ingekwua inawekwa kwa lipa namba, sio kuituma kama unamtumia mtu na kila wakati jina tofauti ili sever isome msg zilizopokelewa ilinganishe na namba iliyotuma hiyo fedha ndo iupdate.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom