Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?
Status
Not open for further replies.
May all souls find enlightenment,

Kuna muda unaweza kuwaza kua waTanzabia ndio binadamu wenye IQ ndogo zaidi duniani. Yani pamoja na utapeli wa Kila mara wa makampuni ya utapeli kama Q-net, DECI, Mr. Kuku, Kalyanda, Forever living nk nk lakini Bado tu wajinga hawajifunzi haya ma pyramid schemes ni utapeli.

Sasa Kuna rafiki wa jirani yangu kaitwa na mashosti zake na kuambiwa habari ati za uwekezaji unaweka hela huko LBL kisha wanakutumia muvie trailer unatazama alafu ati unavuna mahela na ati ukileta watu wa kujiunga unapata mahela zaidi.

Kwa anavyosimilulia ni kwamba Yani wamejikita kindaki ndaki hamna jinsi unaweza kuwashauri Kila Moja amekopa kwenye vikoba 2 mil wameweka huko sasa wakawa wanamshauri na yeye ajiunge.

WaTanzania ni watu wajinga sana sana ujinga wa kurithi kwenye DNA kwa vizazi na vizazi. Yani ati update mahela ya BURE BURE tu na ukimuunga mwingine unapewa zaidi.

Enyi waTanzania ni nani aliyewaroga ?!

download.jpeg
 
View attachment 3189573
mnavowastua ndo wanafanya haraka ya kuwapiga mapema
 
Kuna jamaa ni mhasibu, alimaliza pale IFM akasoma na NBAA. Juzi ananiambia hii ishu, nkamuuliza ina maana kwa kutumia common sense tu umeshindwa kufikiria hao watu wanatengeneza vipi hiyo ela hadi wakulipe wewe kwa kutazama muv kwa sekunde kadhaa?

Ela hapo imewekezwa vipi na hao watu na wao wananufaika vipi wewe kutazama hizo trailers? Akawa anajibu ujinga ujinga. Akaenda dukani akamchukua muha akamuunganisha ktk ujinga wao. Hii kitu ni suala la miezi kadhaa tu kinakuja kilio kingine kwa wajinga.
 
harakati hizi za muafrika
 
Tanzania ni Kama shamba la bibi, kila mjukuu ana haki ya kulima na kuvuna.
 
Haha hao wanaopromote hizo kitu wengine wanakuaga na vidawa vyao,, akikuongelesha kama uko legelege unaingia kingi
 
Kuna jamaa ni mhasibu, alimaliza pale IFM akasoma na NBAA. Juzi ananiambia hii ishu, nkamuuliza ina maana kwa kutumia common sense tu umeshindwa kufikiria hao watu wanatengeneza vipi hiyo ela hadi wakulipe wewe kwa kutazama muv kwa sekunde kadhaa?

Ela hapo imewekezwa vipi na hao watu na wao wananufaika vipi wewe kutazama hizo trailers? Akawa anajibu ujinga ujinga. Akaenda dukani akamchukua muha akamuunganisha ktk ujinga wao. Hii kitu ni suala la miezi kadhaa tu kinakuja kilio kingine kwa wajinga.
Common sense sio common tena kwa Watanzania.
 
May all souls find enlightenment,

Kuna muda unaweza kuwaza kua waTanzabia ndio binadamu wenye IQ ndogo zaidi duniani. Yani pamoja na utapeli wa Kila mara wa makampuni ya utapeli kama Q-net, DECI, Mr. Kuku, Kalyanda, Forever living nk nk lakini Bado tu wajinga hawajifunzi haya ma pyramid schemes ni utapeli.

Sasa Kuna rafiki wa jirani yangu kaitwa na mashosti zake na kuambiwa habari ati za uwekezaji unaweka hela huko LBL kisha wanakutumia muvie trailer unatazama alafu ati unavuna mahela na ati ukileta watu wa kujiunga unapata mahela zaidi.

Kwa anavyosimilulia ni kwamba Yani wamejikita kindaki ndaki hamna jinsi unaweza kuwashauri Kila Moja amekopa kwenye vikoba 2 mil wameweka huko sasa wakawa wanamshauri na yeye ajiunge.

WaTanzania ni watu wajinga sana sana ujinga wa kurithi kwenye DNA kwa vizazi na vizazi. Yani ati update mahela ya BURE BURE tu na ukimuunga mwingine unapewa zaidi.

Enyi waTanzania ni nani aliyewaroga ?!

View attachment 3189573
Kuna binti rafiki yangu amekomaa mno nijiunge huko anatumia kila ushawishi lakini mimi simkatishi tamaa coz najua anaweza kunifaa kwa matumizi ya baadaye
 
May all souls find enlightenment,

Kuna muda unaweza kuwaza kua waTanzabia ndio binadamu wenye IQ ndogo zaidi duniani. Yani pamoja na utapeli wa Kila mara wa makampuni ya utapeli kama Q-net, DECI, Mr. Kuku, Kalyanda, Forever living nk nk lakini Bado tu wajinga hawajifunzi haya ma pyramid schemes ni utapeli.

Sasa Kuna rafiki wa jirani yangu kaitwa na mashosti zake na kuambiwa habari ati za uwekezaji unaweka hela huko LBL kisha wanakutumia muvie trailer unatazama alafu ati unavuna mahela na ati ukileta watu wa kujiunga unapata mahela zaidi.

Kwa anavyosimilulia ni kwamba Yani wamejikita kindaki ndaki hamna jinsi unaweza kuwashauri Kila Moja amekopa kwenye vikoba 2 mil wameweka huko sasa wakawa wanamshauri na yeye ajiunge.

WaTanzania ni watu wajinga sana sana ujinga wa kurithi kwenye DNA kwa vizazi na vizazi. Yani ati update mahela ya BURE BURE tu na ukimuunga mwingine unapewa zaidi.

Enyi waTanzania ni nani aliyewaroga ?!

View attachment 3189573
Wizara husika pia zimelega lega yaani Hawa ukikamata ni ndanii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom