Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

JPM alichowaonyesha wahuni ni kuwa ukitumia dola vizuri ,hakuna mtu wa kukufanya lolote,,,, ss yy kapumzika jiandaeni kufanyiwa vitu vya ajabu mbele ya macho yenu ,na hamtafanya lolote zaidi ya kulalama in anonymity🙂🙂
Haya bana.
 
How could we hamper her like cutleries just for sake of it overlooking the clear picture of what we expect of her?
There is absolutely nothing good we do expect from her, save the wreckages everywhere plus disruptive avenues of unfathomable corruption and nepotism.
 
Chezeeni amani iliyopo kwa kuleta hiyo civil disobedience kwa kuwa hamjawahi kuishi Nchi zisizo na amani. I assure you utatamani UDIKTETA wa CCM.
Mchukia pazuri pabaya panamngoja
 
Chezeeni amani iliyopo kwa kuleta hiyo civil disobedience kwa kuwa hamjawahi kuishi Nchi zisizo na amani. I assure you utatamani UDIKTETA wa CCM.
Mchukia pazuri pabaya panamngoja

Kipi bora: Kuendelea na utawala wa kifisadi na kibaguzi na kinyonyaji na kindugunizasheni na kimikopo na kitozo and the like, au kuchukua hatua madhubuti kama raia wanaowajibika? ^Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote!^

Nasema tena: Peleka woga wako wa upiga-dili kule kuzimu!
 
Yaani mtuletee civil disobedience Ili Mbowe awe Rais? You are making a huge joke Jasmoni Tegga.

Huyu anayeshikilia uwenyekiti wa CDM kwa miaka 18 peke yake, anayegawa ubunge wa viti Maalum kwa mahawara, anayeiuzia CDM magari mabovu kwa bei juu?? Try to be serious
 
Usidhani ukilitaja jina la Mr Hai au ukilipachanisha kwenye kauli zako ndipo tutapuuza suala la kudai uwajibikaji wa vigogo wa pale Magogoni-turned-into-Chamwino. Katu asilani!
 
Usidhani ukilitaja jina la Mr Hai au ukilipachanisha kwenye kauli zako ndipo tutapuuza suala la kudai uwajibikaji wa vigogo wa pale Magogoni-turned-into-Chimwino. Katu asilani!
Endelea kulala Ili uote ndoto nyingi kama hizo. Lakini ukijisikia mkojo, amka unaweza kujikojollea kitandani
 
Chezeeni amani iliyopo kwa kuleta hiyo civil disobedience kwa kuwa hamjawahi kuishi Nchi zisizo na amani. I assure you utatamani UDIKTETA wa CCM.
Mchukia pazuri pabaya panamngoja
Hii narrative ya eti kuchezea amani ndo Watawala wametumia kutupumbaza in such a way kila ukitaka kutoa maoni unaambiwa
"Oh msichezee amani bla! bla! " kama wewe unavyosema hapa. Elewa hamna mtu anayetaka fujo. Fujo huletwa na MABWANA wakati wanapowaonea WATWANA. Kama hujui soma history ya Watumwa walipoamua ku revolt against Mabwana zao. Nini kilichotokea? Jibu ni kuwa WALIKIMBIA!!!
 
Chezeeni amani iliyopo kwa kuleta hiyo civil disobedience kwa kuwa hamjawahi kuishi Nchi zisizo na amani. I assure you utatamani UDIKTETA wa CCM.
Mchukia pazuri pabaya panamngoja
Nakuuliza? Civil disobedience ni nini hasa
Chezeeni amani iliyopo kwa kuleta hiyo civil disobedience kwa kuwa hamjawahi kuishi Nchi zisizo na amani. I assure you utatamani UDIKTETA wa CCM.
Mchukia pazuri pabaya panamngoja
Unaweza kutuambia civil disobedience ni nini? Inawezekana tunaongea tuko kurasa tofauti. What is civil dusobedience in simple language?
 
Hata pengine yeye ni clueless ya kile kinachoongelewa hapa!!
 
Njia yakuponya inchi ni kwa kumwaga damu, maana sanduku la kura wameshalichezeaa sana
 
Kwa mwendo huu tuuonao kwake, we don't need to waste time and precious opportunity needed for positive change just to wait till the end. We already know how her end looks like. It's high time to hamper her moves altogether!
Kusema ukweli SSH ni kama mzigo ni mzito kwake. Laiti tu a shake off kivuli cha Kikwete awe na maono yake yeye mwenyewe ingekuwa bora sana. As long as ana kuwa remote controlled mpaka unaweka mzee sana kuwa ofisini. Inatufanya jatumwelewi. This
 
Njia yakuponya inchi ni kwa kumwaga damu, maana sanduku la kura wameshalichezeaa sana
Naweza kutofautiana nawe ktk hili. Kumwaga damu si njia nzuri maana hiyo matokeo yake ni endless blood cycles ambayo kila Mtanzania hataki. Njia nzuri ni kupaza sauti tu mpaka wasikie.
 
Kama nilivosema somewhere humu kuwa the only and best option ni kupiga kelele" ama kupaza sauti mpaka wadikie. Be it through social media or any other way but not using violence whatsoever.
 
Haya bhana!
 
Naweza kutofautiana nawe ktk hili. Kumwaga damu si njia nzuri maana hiyo matokeo yake ni endless blood cycles ambayo kila Mtanzania hataki. Njia nzuri ni kupaza sauti tu mpaka wasikie.
Ukitazama nchi zote zenye uchumi mzuri..zimepitia damu. Hadi kufika apo. Sio lelemaa. Usiendee mbali tazama Kenya iliwabidi waingiee mtaani ilikuweza pata katiba mpya ya wananchi, angalia Rwanda wamepitia pagumu..kwa sababu yakuwatoa wapumbavu kwenye uwongozi
 
South Africa's former President, Jacob Zuma, is giving evidence this week at a commission set up to investigate corruption allegations during his time in office.
The inquiry takes its name from an academic term, "state capture", that has become a buzzword - shorthand for the multiple scandals that plagued the Zuma administration and eventually brought it down.

So what exactly is state capture?​

State capture describes a form of corruption in which businesses and politicians conspire to influence a country's decision-making process to advance their own interests. As most democracies have laws to make sure this does not happen, state capture also involves weakening those laws, and neutralising any agencies that enforce them.
PENGINE UTAELEWA sasa. Hiyo ni kutoka BBC.
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake! 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…