GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hali ilivyo kwa sasa
 

Attachments

  • IMG_20251029_073408.jpg
    466.6 KB · Views: 24
Hiki nini sasa we kiazi? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

🀣🀣🀣
we kiazi toka humo ndani njoo rod tulikomboe taifa.

au unafanya protest online 🀣
 
Kwani wapiga kura wapo ...kama wapo basi maandamano yame feli 😁 kama awapo basi ni dalili njema ya kuanguka kwa KAHABA
 
Ni mpuuzi pekee ndio angeamini kwamba Tz kuna maandamano
 
Watu wanaandamana mioyoni sasa kupitia maombi Albadiri wanamlilia mungu kwani mandamano ya live wazi Tayari Polisiccm week yote wameandamana kwa niaba ya wananchi kwa kuzunguka zunguka na kutoa vitisho vingi sana, kilichokuwa kinatakiwa ni ujumbe ufike Duniani kupitia mandamano na tayari Polisiccm wamewakilisha vizuri na mandamano yamefanikiwa vyema
 

Mkuu Polepole hata akiachiwa hawezi kuwa sawa kwa hali iliyopo.
Hakuna mateso makubwa kama kukataliwa, kutelekezwa na watu uliokuwa unawapigania
 
hali ilivyo morogoro road
 

Attachments

  • IMG_20251029_073408.jpg
    466.6 KB · Views: 25
Pumbavu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Wapi kura leo ni watu wazima na wale wanaodharaulika mtaani. Hakuna kijana hata mmoja anayejuelewa aliyeenda kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…