Na bado nipo hapa Kata ya Kati Arusha kwenye foleni ya kupiga kura.Hamna nyumbu wala kelele.Moyo licha ya kufa ganzi utasimama muda si mrefu.Haya hiyo support yenu manyumbu ipo wapi?Moyo umekufa ganzi! Sioni mwanga mbele.
All in all, ukombozi ni hatua! At least there has been some sensitization......
Ww kama hakuna unachokifanya kutoka kwenye hiyo hali basi nyamaza!!Acha kushauri fanya vitendoIla wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?
Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?
Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Hawezi kuwa sawa kwa mlengo wa Imani aliyo nayo juu ya haki ila polepole ni mjomba ,ni baba mkubwa ni baba mdogo ni ndugu hivyo sisi ndugu zake tunamuhitaji akiwa hai hata asipokuwa sawa kwa usaliti aliofanyiwa na midude ya Generation Z ila sisi ndugu furaha yetu ni kumuona anaishi .Mkuu Polepole hata akiachiwa hawezi kuwa sawa kwa hali iliyopo.
Hakuna mateso makubwa kama kukataliwa, kutelekezwa na watu uliokuwa unawapigania
Wewe ndiyo mwehu unajidanganya kwa vitisho vya Polisiccm kumbe Polisiccm wanaandamana bila kujijuaWewe ni kichwa cha mwendawazimu
Unapiga ngoma na kucheza mwenyewe
Mandamano yamefanikiwa sana, Polisiccm wameandamana week yote kwa niaba ya wananchi pasipo kujijuaWw kama hakuna unachokifanya kutoka kwenye hiyo hali basi nyamaza!!Acha kushauri fanya vitendo
Hhaah hili nilijua mapema sana, kunahitajika project ya 20 years kumtoa mtanzania kutoka kwenye mentality za uwogaKila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
mmetishia mpaka wapiga kura! watu wamejificha majumbani tuKila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi wapiga kura wapo 😁😁😁 kete ya maandamano imeifunua ccm na samia kuwa ni waovu kwa umma hivyo inachezeka kwa hata kuto kuandamana uchaguzi unakuwa KIBUDU na kumfanya Samia kuwa kiongozi haramu.Pumbavu. 😂😂😂
Kwani ulitegemea nini? Kuandamana?Nenda hospitali ya afya ya akili.Nyumbu aneanza kupata akili.Uanaharakati hauwafikishi popote.Ombeni mazungumzo na usuluhishi kwa adabu.Mpaka hapa serikali ina haki ya kutufanya itakavyo. DC anaweza kuja kumpiga miti mke wa mtu na akawa hana cha kumfanya
Tayari Polisiccm wameandamana na wanaendelea kuandamana kwa niaba ya wananchi pasipo kujijuaSiwezi kufanya huo ujinga mimi
Kwa ajili ya mtanzania?Nani ana jitoa mhanga kwa ajili ya wengine?
Vituo ni vitupu hakuna watu zaidi ya kujaa Polisiccm na maccm wenyeweVipi wapiga kura wapo 😁😁😁 kete ya maandamano imeifunua ccm na samia kuwa ni waovu kwa umma hivyo inachezeka kwa hata kuto kuandamana uchaguzi unakuwa KIBUDU na kumfanya Samia kuwa kiongozi haramu.
Si mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi.Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Mikwara ilikuwa mingi humu nikajipa moyo tutatoka kumbe ni ushujaa wa nyuma ya ma simu.Kila siku ilikuwa mikwara kibao tarehe 29 tarehe 29 leo hamna hata sisisimizi barabarani nyumbu zote zimekaa zinafuatilia kinachoendelea kwenye simu hii ni Kali ' hahahaha mtanzania ni mnafiki sana acha wakina Abduli wale mabilioni yao kwa raha bhana hii inaitwa Raha jipe mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣