Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Duhkumbe ndio hii ngoja nifungue
Sio kweli.Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
Wewe ndiye huna akili kwa sababu unayatazama mambo mwisho wa magoti yako tu yanapokomea...!!Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Diamond si wizkid na wizkid si diamond system ya mziki wa nigeria huwezi kufananisha na bongo na siasa ya nigeria huwezi kufananisha na hapa bongo pesa nyingi za wanamuziki wa bongo wanapata kwenye hii mikutano ya kisiasa mfano mzuri diamond kalipwa show moja tu ya CCM million 100 fanya calculation kama alifanya mikoa 10 alipata shilling ngapi? Wewe lini umewahi kununua kazi za wasanii zaidi ya kuburn kazi zao.Ukiacha na hivyo Diamond amewekeza hapa bongo hiv akiamua kuiponda serikali hali yake ya biashara itakuaje?utamsaidia kulisha familia yake? Wizkid anaweza kufanya harakati za kisiasa dhidi ya serikali lakini nchi yao hawana mambo kama bongo ya kuharibiana au kurudishwa nyuma ndio maana huyo wizkid anajeuri hiyo.Wiz kid alizikataa
Sio wanyonyaji tu,ni wauajiDiamondi alikosea sana kuungana na wanyonyaji
Idadi kubwa ya Ccm ni masikini hata bando ni shida kuipata,,wasiyo jitambua,hata jinsi ya kupiga kura hawajui.Ccm wote wakiungana kumpigia kura lzm atashinda
Yeye ni CCM pale tu analipwa mapene lakini yeye sio CCM Wala Hana kadi ya CCM pia yeye sio Chadema wasanii ambao ni CCM ni steve nyerere, Mwana fa, Babu tale,Shilole, irene uwoya. Diamond yupo kibiashara na ndio maana kikiisha tu kipindi Cha kampeni uwezi kumuona kwenye harakati za CCM.Hapo ndipo utakapokwama kumtetea Diamond wako. Tunaochangia hapa wala siyo CHADEMA lakini tunajua yeye ni CCM...
Watapewa free bando pili seminar elekezi kama za wagombea wa ccmIdadi kubwa ya Ccm ni masikini hata bando ni shida kuipata,,wasiyo jitambua,hata jinsi ya kupiga kura hawajui.
Atashinda njaaCcm wote wakiungana kumpigia kura lzm atashinda
Shabiki kitambo 😁Katika hili nimefurahi kuwaona mashabiki wenzangu wa Diamond wa tangu enzi na enzi, nimemuona data Evelyn Salt Phoenix
Hili jambo si personal, labda kama kuna watu wanalitumia pesonally, Mtu ambaye ni celebrity siku zote hatakiwi kuside na oppressors akawaacha wananchi, hii iwe funzo kwao wote wasanii wetu, wautumie umaarufu wao vizuri kwa ajili ya jamii pia maana na wao ni wana jamii.
Movements kama hizi zisiishie kwa Diamond tu, ziende kwa wasanii wote wanaoside na oppressors na wana habari pia.
Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
Sawakumbe ndio hii ngoja nifungue
Kina Paul MakondaSio wanyonyaji tu,ni wauaji
Katika hili nimefurahi kuwaona mashabiki wenzangu wa Diamond wa tangu enzi na enzi, nimemuona data Evelyn Salt Phoenix