Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Nyie bila kubaniwa sauti hamtoi kazi 😹😹
Kazi kazi acha tufanye kazi hakuna kulainisha bure bure unanilainisha nikikulenga unaruka ukijilegeza tena nikakupotezea ukienda kwa mashoga zako unasema yule mwanaume hasimamishi
 
Kazi kazi acha tufanye kazi hakuna kulainisha bure bure unanilainisha nikikulenga unaruka ukijilegeza tena nikakupotezea ukienda kwa mashoga zako unasema yule mwanaume hasimamishi
Kwani akisema hasimamishi
Ndio husimamishi kweli au?
 
Unaomba msaada uku jicho limelegea kama limetiwa kungu alafu kibaya zaidi wengi mkiona mnapata msaada mnatumia matatizo yenu kama chambo
Una mawazo mabaya wengine macho yao hua yapo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…