ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
SafiiiBinafsi sihitaji ngono kama fidia kwa mwanamke atakayehitaji msaada toka kwangu
HongeraMipaka yangu wanawake wote niliowakopesha wananilipaga wenyewe bila mitego yoyote aseeh...
Good boyVilevile nikaelekezwa msaidie mtu bila kuhitaji fidia hasa hizi za ngono kama huwezi usimsaidie.
Wengine wanaona dili, am not woman btwUkiendekeza tamaa mwanamke utaliwa mpaka na mbwaa
Hapo ubaya uko wapi mzeeIla ni dhambi kubwa sana unapoona mtu ana shida na wewe unaona ndio muda wa kutatua shida zako
kumbe ni wewe ndie unasave minyama halafu unapita tu na ndoo ya minyama pembeni ya meza yangu halafu hunizingatii wala nini, dah! 🐒Niache 😁
Uvuvi pro maxBinafsi sihitaji ngono kama fidia kwa mwanamke atakayehitaji msaada toka kwangu
Mipaka yangu wanawake wote niliowakopesha wananilipaga wenyewe bila mitego yoyote aseeh...
Vilevile nikaelekezwa msaidie mtu bila kuhitaji fidia hasa hizi za ngono kama huwezi usimsaidie.
Sema watu waliiokosa maadiliKwenye kipindi cha njaa ndo kipindi kizuri cha watu wenye unafuu kutajirika, nature ndo iko hivyo, Sioni cha ajabu hapo,wewe kubali au kataa basi inakuwa imeisha.
No commentNilidhani wanaume wanawabaka wanawake wenye uhitaji,kumbe wanawatongoza,sio kosa hata Mimi ukikaa vibaya huku una uhitaji lazima unizawadie kitumbua, golden chance never comes twice. Wakati tunajenga wazazi wenu walikuwa bize kucheza bao,Leo hii unataka uzazi (ubaba,)kwa mwanamume asiye mzazi wako.🤔🤔🤔
Wewe ndio father house nini?Ungetaka upendo kama unavyo tarajia basi kapange kwenye nyumba ya baba yako mzazi, tofauti na hivyo wewe ni halali yetu sisi wanaume wa fursa
Acha basi mkuu🤣🤣kumbe ni wewe ndie unasave minyama halafu unapita tu na ndoo ya minyama pembeni ya meza yangu halafu hunizingatii wala nini, dah! 🐒
NomaWengine wanaona dili, am not woman btw
AiseeeHapo ubaya uko wapi mzee
Mwenye shida mmoja akikutana na mwenye shida mwngne. Kila mmoja anamsaidia mwenzake kutokana na kile alichojaliwa.
Ila ni dhambi kubwa sana unapoona mtu ana shida na wewe unaona ndio muda wa kutatua shida zako
naachaje na sijachukua hata finyango moja ya nyama ndugu mdau?🐒Acha basi mkuu🤣🤣
Mimi nikikupa access fulani na wewe ukinipa papuchi ubaya uko wapi?Aiseee
Una rahisisha sana
Sawa sawa ila sio kwenye ngonoNdio maisha yenyewe mkuu, kwani Bakhresa ana dhambi kutajirikia kwa maskini? Mtatuzi wa shida siku zote anafaidika na shida za wenye shida, ndo maana tunasema ukitaka kufanikiwa tazama fursa ambayo haijatumika ndio nipe nikupe! Hamna dhambi wala nini
Basi tulia utapewa hata kipapationaachaje na sijachukua hata finyango moja ya nyama ndugu mdau?🐒
Sawa umeshindaaaMimi nikikupa access fulani na wewe ukinipa papuchi ubaya uko wapi?
Hiyo si ni win win situation.
ehewalaaah,Basi tulia utapewa hata kipapatio
Sawa sawa ila sio kwenye ngono
Sijaelewa hapo, kutumia kwa njia gani?Kukubali kuliwa ni maamuzi yake binafsi ambayo sisi hayatuhusu!!!! Na hatuna sababu ya kujadili.
Elewa neno Kumtumia mwanaume
Huoni kuwa mwenye nyumba ndo boss!? Unataka kusema mwenye duka na mwenye hela(mteja) wote wako kiwango kimoja!?Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?