Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

Samia anatakiwa akemee ushangiliaji wa misiba
1. Amkemee na kumfuta kazi Nape kwa kauli yake ya "Mungu ameamua ugomvi"
2. Amfukuze kazi Januari kwa kauli ya baba yake ya kulamba asali na watu wazuri hawafi.

Atumie kanuni ya Mungu ya "Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tano na cha sita.".

Bila hivyo nchi inagawanyika vipande
Ikigawanyika nipewe kipande kimoja cha hapa butiama
 
Poleni na musiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana...
Washirika mmeanza kujitokeza kupima upepo

Mungu ampokee mja wake
 
Poleni na musiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana....
Wewe na hyo Membe ambaye mlimuita jasusi kafa kizembe sana kabanwa kifua mpaka chali mbaya wote wangese nendeni mkazikwe nae huko umwerani, pathetic
 
Hilo sio kosa Bali kosa ni kumpinga Jiwe,unauliza swali wakati unajua kwamba Jiwe alikuwa anataka kuabudiwa akiamini yeye ndio mwenye akili na anaestahili kuliko watu wote Tanzania?
Membe alimua balozi wa Libya na kupora pesa za Libya,baada ya yule balozi kuzifuatilia,yako wapi?,na yeye kaunga tela,wewe na huyo Mfu Membe kazikwe nae
 
Hilo sio kosa Bali kosa ni kumpinga Jiwe,unauliza swali wakati unajua kwamba Jiwe alikuwa anataka kuabudiwa akiamini yeye ndio mwenye akili na anaestahili kuliko watu wote Tanzania?
Ila wazee wa town walicheza heko sana kuling'oa jiwe. Ingekuwa tabu sana Tz kwa mungu mtu
 
Huwezi kuwa Rais bila kuwa jasusi mkuu!!

System haiwezi muweka mtu ambaye gajaiva kwenye ujasusi ndani ya nchi!!

Lazima kwanza upate mafunzo kivitendo ndani ya Tiss ndio unakua !

Jua hivyo!
Unaweza sana, mbona shujaa mwendazake na ushamba wake alikua Rais na hakuwa jasusi, majasusi hawawezi kuwa na tabiza za aina ya John, hilo ntapinga hadi mwisho
 
Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.
OIP.VBKUureBZ2g7pgfKFprJdgHaE6
 
Unaweza sana, mbona shujaa mwendazake na ushamba wake alikua Rais na hakuwa jasusi, majasusi hawawezi kuwa na tabiza za aina ya John, hilo ntapinga hadi mwisho
Kuna bandiko moja la The bold kuhusu Roman Abramovich !

Kwenye like bandiko amamueleza huyo!kifupi sana kuwa kuna mkutano waliufanya Morogoro na yeye akiwepo!!

Yaani akasema kwamba watz hawajui history ya kijasusi ya jamaa!kipindi hicho ndio jpm kapamba moto KWELI kweli kutumbua majipu!

Niishie hapo!
 
Samia anatakiwa akemee ushangiliaji wa misiba
1. Amkemee na kumfuta kazi Nape kwa kauli yake ya "Mungu ameamua ugomvi"
2. Amfukuze kazi Januari kwa kauli ya baba yake ya kulamba asali na watu wazuri hawafi.

Atumie kanuni ya Mungu ya "Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tano na cha sita.".

Bila hivyo nchi inagawanyika vipande
Wewe ni timu sukuma gang sio? Wakati Magufuli anakataza Wana CCM wasishiriki misiba ya wanachadema ulikuwa wapi usimkemee baba yako?
 
Poleni na musiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana.!

Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga Hawa watu wawili walikuwa engine ya nchi hii haswa.

Wametuepusha na vitu vingi Membe alisaidia Sana harakati za kuondoa Rais dicteta nchi hii na kuvunja mfumo wake wote aliokuwa anautengeneza kutawala Tanzania milele.

Membe ndiye alisaidia mwaka 2015 tusipate Rais fisadi ingawa anatukanwa lakini yeye ndiye alisimama kidete sasahivi labda nchi ingekuwa imeshauzwa kabisa.

Udicteta ni hatari kwa nchi kama ilivyo kwa ufisadi fikiria kama Magufuli angendelea kutawala milele Hali ingekuwaje uko mtaani ?

Fikiria kama Lowassa angeingia Ikulu hali ya ufisadi ingekuwaje sasahivi?

Lakini Membe alisimama kama mtu Kati kuzuia majaribio yote mawili na alifanikiwa.

Tunamdai nini watu watasema pesa za Libya? No pesa za Libya waliiba ccm kwa ajiri ya uchaguzi sio Membe.

Tunawaambia kila siku nchi hii ina tatizo la mfumo hamtaki.

Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.

Apumzike kwa amani alikuwa mtu na nusu apewe maua yake kwenye kaburi lake!!

R.I.P
Acha pumba zako; hizo hoteli alizowekeza Mtwara ufukweni karibu na kiongozi mmoja aliyewahi kuwa waziri kwenye ofisi ya rais mbona huzitaji? Lindi pameachwa ili wasionekana wana mali nyingi wanaenda kuwekeza mahali pengine au kuweka kwa mtu mwingine wasijulikane ndio kusaidia kitu gani?
 
Kuna bandiko moja la The bold kuhusu Roman Abramovich !

Kwenye like bandiko amamueleza huyo!kifupi sana kuwa kuna mkutano waliufanya Morogoro na yeye akiwepo!!

Yaani akasema kwamba watz hawajui history ya kijasusi ya jamaa!kipindi hicho ndio jpm kapamba moto KWELI kweli kutumbua majipu!

Niishie hapo!
Fafanua mkuu acha uoga
 
Samia anatakiwa akemee ushangiliaji wa misiba
1. Amkemee na kumfuta kazi Nape kwa kauli yake ya "Mungu ameamua ugomvi"
2. Amfukuze kazi Januari kwa kauli ya baba yake ya kulamba asali na watu wazuri hawafi.

Atumie kanuni ya Mungu ya "Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tano na cha sita.".

Bila hivyo nchi inagawanyika vipande
Hilo ni suala ambalo hawezi kufanya. Yaani hana ubavu. Alilifumbia macho Sasa it's too late.

Tunasubili msiba mwingine kutoka team wahuni tushangilie. Tumeambiwa Bado 3
 
Back
Top Bottom