Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

Poleni na musiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana.!

Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga Hawa watu wawili walikuwa engine ya nchi hii haswa.

Wametuepusha na vitu vingi Membe alisaidia Sana harakati za kuondoa Rais dicteta nchi hii na kuvunja mfumo wake wote aliokuwa anautengeneza kutawala Tanzania milele.

Membe ndiye alisaidia mwaka 2015 tusipate Rais fisadi ingawa anatukanwa lakini yeye ndiye alisimama kidete sasahivi labda nchi ingekuwa imeshauzwa kabisa.

Udicteta ni hatari kwa nchi kama ilivyo kwa ufisadi fikiria kama Magufuli angendelea kutawala milele Hali ingekuwaje uko mtaani ?

Fikiria kama Lowassa angeingia Ikulu hali ya ufisadi ingekuwaje sasahivi?

Lakini Membe alisimama kama mtu Kati kuzuia majaribio yote mawili na alifanikiwa.

Tunamdai nini watu watasema pesa za Libya? No pesa za Libya waliiba ccm kwa ajiri ya uchaguzi sio Membe.

Tunawaambia kila siku nchi hii ina tatizo la mfumo hamtaki.

Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.

Apumzike kwa amani alikuwa mtu na nusu apewe maua yake kwenye kaburi lake!!

R.I.P
Kuhusu hizo hela za Libya ziko wapi na zilikuwa ngapi ; mtu anayeweza kuzizungumzia authoritatively ni mjomba wa Msoga! Membe alikuwa anabeba mikoba ya Kikwete, he was just an emissary.
 
Kuna bandiko moja la The bold kuhusu Roman Abramovich !

Kwenye like bandiko amamueleza huyo!kifupi sana kuwa kuna mkutano waliufanya Morogoro na yeye akiwepo!!

Yaani akasema kwamba watz hawajui history ya kijasusi ya jamaa!kipindi hicho ndio jpm kapamba moto KWELI kweli kutumbua majipu!

Niishie hapo!
Leta link mkuu
 
Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana.

Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga Hawa watu wawili walikuwa engine ya nchi hii haswa.

Wametuepusha na vitu vingi Membe alisaidia sana harakati za kuondoa Rais dicteta nchi hii na kuvunja mfumo wake wote aliokuwa anautengeneza kutawala Tanzania milele.

Membe ndiye alisaidia mwaka 2015 tusipate Rais fisadi ingawa anatukanwa lakini yeye ndiye alisimama kidete sasahivi labda nchi ingekuwa imeshauzwa kabisa.

Udikteta ni hatari kwa nchi kama ilivyo kwa ufisadi fikiria kama Magufuli angendelea kutawala milele Hali ingekuwaje uko mtaani?

Fikiria kama Lowassa angeingia Ikulu hali ya ufisadi ingekuwaje sasa hivi?

Lakini Membe alisimama kama mtu Kati kuzuia majaribio yote mawili na alifanikiwa.

Tunamdai nini watu watasema pesa za Libya? No pesa za Libya waliiba ccm kwa ajiri ya uchaguzi sio Membe.

Tunawaambia kila siku nchi hii ina tatizo la mfumo hamtaki.

Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.

Apumzike kwa amani alikuwa mtu na nusu apewe maua yake kwenye kaburi lake.

R.I.P
Technically wewe ni chizi kama wajinga wengine tu
 
KWENDAZAKE
 
Hilo ni suala ambalo hawezi kufanya. Yaani hana ubavu. Alilifumbia macho Sasa it's too late.

Tunasubili msiba mwingine kutoka team wahuni tushangilie. Tumeambiwa Bado 3
Sio rahisi 😊😊😊

Huyo uliyemuweka kwenye list yako ya hao watatu bora (3) mnaowawinda kwa udi na uvumba..., hashikiki kizembe... Naona unajaribu kuonja juisi ya nyuki 😊😊😊

DON'T DARE! 👍🏾
 
Ulikula kiapo halafu unavujisha vitu nyeti vya namna hii tena kwa lugha ya kijeshi....unafikiri huwezi kupatikana kutokana na anonymous ID yako?!

shauri yako!
Ndio tunajua aliondoka katikati ya kampeni kwenda nje kusuka mipango ya kumuondoa jiwe , it is true ni mataifa mengi yalihusika kumwangusha mwamba , na tunajua Raisi Samia alimrudishia ikulu ili kusafisha mfumo wa TISS aliousimika Jiwe , hata hvo hawakujua wanamweka too close toward a central danger point .... Game starts, mwende mkazike sasa
 
Kuna bandiko moja la The bold kuhusu Roman Abramovich !

Kwenye like bandiko amamueleza huyo!kifupi sana kuwa kuna mkutano waliufanya Morogoro na yeye akiwepo!!

Yaani akasema kwamba watz hawajui history ya kijasusi ya jamaa!kipindi hicho ndio jpm kapamba moto KWELI kweli kutumbua majipu!

Niishie hapo!
Basi TISS walikose sana kufanya vetting, how can a serious mental case like jiwe awe kwenye idara nyeti namna hiyo? Anaweza siku akapiga risasi watu hadharani maana katiba yetu ni mbovu
 
Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana.

Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga Hawa watu wawili walikuwa engine ya nchi hii haswa.

Wametuepusha na vitu vingi Membe alisaidia sana harakati za kuondoa Rais dicteta nchi hii na kuvunja mfumo wake wote aliokuwa anautengeneza kutawala Tanzania milele.

Membe ndiye alisaidia mwaka 2015 tusipate Rais fisadi ingawa anatukanwa lakini yeye ndiye alisimama kidete sasahivi labda nchi ingekuwa imeshauzwa kabisa.

Udikteta ni hatari kwa nchi kama ilivyo kwa ufisadi fikiria kama Magufuli angendelea kutawala milele Hali ingekuwaje uko mtaani?

Fikiria kama Lowassa angeingia Ikulu hali ya ufisadi ingekuwaje sasa hivi?

Lakini Membe alisimama kama mtu Kati kuzuia majaribio yote mawili na alifanikiwa.

Tunamdai nini watu watasema pesa za Libya? No pesa za Libya waliiba ccm kwa ajiri ya uchaguzi sio Membe.

Tunawaambia kila siku nchi hii ina tatizo la mfumo hamtaki.

Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.

Apumzike kwa amani alikuwa mtu na nusu apewe maua yake kwenye kaburi lake.

R.I.P
Sawa basi nenda huko kwake
 
Kwahiyo unataka kusema alikuwa mzuri??.
 
Kwaiyo sasa hivi Magufuli hatawali,Hali ya maisha mtaani ni nzuri?
 
Back
Top Bottom