Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Hata mimi nimesiki mitaani wanasema, sina uhakika sanaDuuuh kumbe hati miliki ya jina "Mwendazake" anayo Jiwe? [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimesiki mitaani wanasema, sina uhakika sanaDuuuh kumbe hati miliki ya jina "Mwendazake" anayo Jiwe? [emoji16][emoji16]
Naviona visungura vya Melo vinavyodanganyana.Visungura vinatusumbua kaka mkubwa
Kama tulishaambiwa PSU Sawa na migambo tu itakuwa hili.Naviona visungura vya Melo vinavyodanganyana.
Kwa uadilifu upi akionao Membe?Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana.
Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga Hawa watu wawili walikuwa engine ya nchi hii haswa.
Wametuepusha na vitu vingi Membe alisaidia sana harakati za kuondoa Rais dicteta nchi hii na kuvunja mfumo wake wote aliokuwa anautengeneza kutawala Tanzania milele.
Membe ndiye alisaidia mwaka 2015 tusipate Rais fisadi ingawa anatukanwa lakini yeye ndiye alisimama kidete sasahivi labda nchi ingekuwa imeshauzwa kabisa.
Udikteta ni hatari kwa nchi kama ilivyo kwa ufisadi fikiria kama Magufuli angendelea kutawala milele Hali ingekuwaje uko mtaani?
Fikiria kama Lowassa angeingia Ikulu hali ya ufisadi ingekuwaje sasa hivi?
Lakini Membe alisimama kama mtu Kati kuzuia majaribio yote mawili na alifanikiwa.
Tunamdai nini watu watasema pesa za Libya? No pesa za Libya waliiba ccm kwa ajiri ya uchaguzi sio Membe.
Tunawaambia kila siku nchi hii ina tatizo la mfumo hamtaki.
Membe apumzike kwa amani kapigana vita yake kwa umakini mkubwa Sana na ameimaliza kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wa Tanzania wakati yeye ni spy hakuna kitu kama icho katika mfumo wa Tanzania na ameshaambiwa ilo kabla.
Apumzike kwa amani alikuwa mtu na nusu apewe maua yake kwenye kaburi lake.
R.I.P
jiwe alikuwa jasusi?...
Huna ujualo, Magufuli hajawahi kuwa JASUSI zaidi ya kwenda JKT kwa mujibu wa Sheria kama ilivyo kwa vijana wanaomaliza elimu ya kidato cha 6 sasa hivi.
Kwani ameacha?Mbowe alikuwa spy!?