Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Kote sawa ila ulipofika hapa umeboranga, yaani umeharibu, yaani umepuyanga, yaani umeandika pumba, yaani huna AKILI.

Yaani umeshindwa kutambua ni DINI ipi inaongoza kwa kutinduana marinda na kufunga ndoa za jinsia moja..?

Wewe ni taahira.


Baki na msimamo mmoja, na usipendelee upande wowote wa Dini.

Kama unaamini Dini ni upuuzi, haina haja ya kuponda dini moja , ponda dini zote.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huo ni msimamo wako na tuna uheshimu Sana chief.

Naona kuna ufahamu mbaya juu ya hili swala au uelewa mbaya, Kwanza haijasemwa mtoto asitunzwe au kupewa huduma zote kama mtoto laa!

Atapata huduma zote kama watoto wengine pale nyumbani lkn kuna baadhi ya mambo huwezi kumfanyia na yeye hawezi kuyapata.

Huwezi kumuita Kwa jina ubini WA Baba yako,pili hawezi Kurithi Mali baada ya kufa kwako.

Lakini

Unaweza kumpa Mali na kumuwezesha katika mambo mengi Tu.

Na haifai kumuita mtoto wa haramu wala haifai hata yeye kujiona ni mtu tofauti na wengine.

Wenye kuelewa basi wataelewa
 
Hakuna mahali nimesema Waarabu na Wazungu wameanzisha dini. Usiniwekee maneno ambayo sijayasema.

Nimesema WAARABU NDIO WAMEANDIKA HICHO KITABU Unachokiamini na ambacho unakitumia kumtenga mtoto wako wa nje ya ndoa.
Sasa kuna tofauti Gani Kwa kusema hivyo

Yaani wewe huna tofauti na watu ambao walipinga Mitume na kutaka kuona Mitume ni Malaika au wamuone Mungu mwenyewe live Kwa macho yao
 
Samahani mkuu, kama dini imekukataza kumtambua huyo mtoto je unatoa wapi mamlaka ya kumuhudumia na kusema kuwa wewe ni baba yake wakati huyo ni mtoto wa mama asiye na baba??

Ukinipa majibu kwa vielelezo vya maandiko toka kwa unayemwabudu vikieleza hayo ili tujue kama umeishika hiyo dini ama unachagua kushika baadhi ya vipengele itakua vema zaidi. Andiko please
 
Kwa hiyo hapo unaona mwanaume ndio kawajibishwa Mkuu?

Ipo shida mahali
 
Sasa kuna tofauti Gani Kwa kusema hivyo

Yaani wewe huna tofauti na watu ambao walipinga Mitume na kutaka kuona Mitume ni Malaika au wamuone Mungu mwenyewe live Kwa macho yao
Sasa kwani ni uongo hawakuandika waarabu? Au ni Mungu alikidondosha toka mawingini mpaka duniani na nyie mkakidaka!!??

Mohamad (mwarabu) alisimulia maono yake aliyodai kupewa na Alah na wafuasi wake (waarabu wenzake) wakayakariri na wakayaandika.. Sasa hapo nani mwandishi?

Hakuna kitabu kiliwahi kuandikwa na Mungu, Vitabu VYOTE vimeandikwa na wanadamu, including hiyo Quran unayoiamini.
 
Mkuu ETUGRUL BEY issue ya nyongeza hapa.
Umesema kuwa kuna limitations za baadhi ya haki kwa huyo mtoto kwa baba yake(ambapo unasema hana baba kwa mujibu wa dini yako).

1. Kama hana baba unaishi vipi naye kwako na kumruhusu akuite baba?
2. Kuna sheria yoyote ya dini inakutaka kumuhudumia huyo mtoto haramu wako?
3. Je usipomuhudumia kama mwanao kuna kosa lolote?

Asante.
 
Ww umeniuliza swali kana kwamba mtoto ni hadhabu kwa mwanamke na mimi nime kujibu kuwa mtoto sio adhabu kwa mama, mwanamke anaye hesabu kulea mtoto kama adhabu ni mpumbavu.
Hapa ulijibu ukiwa na maana gani? Kama ulikuwa umaanishi mwanamke kulea mtoto aliezaa nje ya ndoa ndio adhabu yake?
Ww mwanaume adhabu yako ya uzinzi iko inakusubilia kwa muumba.
 
Wanadamu kwa kumuumba Mungu hawajambo,huyo Mungu alitokea wapi hadi akaja kutoa hayo maagizo?
 
Samahani Mkuu, hivi Ishmael ambaye alikuwa mtoto ya kijakazi wa Ibrahimu yaani anatumia ubini wa nani?
 
Umemaliza kazi kijana kanywe soda
 
Fala Sana ,upeo wako inaonekana mdogo...jitahidi kutumia bundle vizuri
 
Sijui kwanini watu wanapenda kujenga hoja za kibabe kwenye swala ambalo liko wazi kabisa. Sasa yeye amezaliwa amekuta kanuni. Basi anaanza kupingana nazo anaamini akizijengea hoja itahalalisha uovu anaofanya. Haramu ni haramu tu
Kwel kabisa madam Blessed Tanzanian ,watu wanataka mambo yawe wanavyotaka wao ili wapate uhalali WA kubariki maovu Yao,Hilo ndio tatizo hapo
 
Sawa mkuu kutomtambaua hakufuti ukweli wq mambo,tuwe na Subira mapaka pale roho zetu zitakapo Acha mwili tutapata majibu mazuri sana
 
Kauli zako zinaonyesha kuwa huenda huamini Maandiko au hata huamini kuhusu maono au wahyi kutoka Kwa Mungu,kwahiyo naona tuishie hapa
 
Asante Kwa maswali yako mazuri chief

Kwanza unaweza kuishi au usiishi nae kwasababu Hana nasabu na wewe kabisa,Ila kuna mazingira ambayo huenda yakapelekea kuishi nae,mathalani umemuoa mama yake,hapo bilashaka utaishi nae,na atakuita Baba ingawa sheria haitambui Hilo.

Hakuna sheria ya Dini ambayo inamtaka mtu kumhudumia huyo mtoto,isipokuwa unaweza kumhudumia kama ambavyo ungeweza kuhudia yatima na watu wenye uhitaji

Hakuna kosa usipo muhudumia kwasababu sheria haitambui kama ni mwanao,Ila Busara ni kumhudumia


Kuhusu andiko katika Ile comment yako ya awali, bado natafuta IPO katika Sura gani hasa,Ila nitakuletea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…