Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Kote sawa ila ulipofika hapa umeboranga, yaani umeharibu, yaani umepuyanga, yaani umeandika pumba, yaani huna AKILI.Hizi dini za kuletewa hizi zinavioja Sana. Mungu mlikutana nae wapi akayasema yote hayo? Au utashi wa binadamu ndio umepelekea kuyaandika hayo? Labda tuwaulize Ismail ni mtoto wa nani? Maana Abraham alimpata nje ya ndoa.
Masuala ya kusema ndoa ya kanisani au msikitini ni halali na nje ya hapo ni haramu yanaudhi Sana. Yaani mwanangu asirithi Mali au asitumie jina langu kisa dini! Basi Bora niachane na hiyo dini kuliko kupoteza uhusiano wa damu baina yangu na mtoto.
Jambo la kushangaza mtoto huyo huyo anakua na majina meeengi ya kumlaani. Lakini iwapo mama yake ukafunga nae tu ndoa japo Kwa kuchelewa yanabadilika. Kwahiyo kumbe shida sio mtoto Bali mnataka mwenye mtoto afunge ndoa na baba wa mtoto bila kujali ni mke wa pili, tatu au nne Sasa ndio Nini?
Waliowaletea dini wenyewe juzi wametengua kauli inayosema kuishi bila ndoa ni haramu na adhabu yake ni kifo. Walitengua Ili Ronaldo na mchumba wake waendelee na maisha, je nao waliambiwa na Mungu kuwa iwapo mtu ni maarufu Sheria haimhusu? Na wewe ambae upo kwenye familia ya kindoa utasema maneno hayo hayo iwapo mama Yako akisema huyo sio baba Yako? Muache kukalili na kuita binadamu wenzenu majina mabaya.
Kanuni zenu hizo hizo zimepelekea mabinti wengi kupoteza Malinda kabla ya ndoa Kwa hofu ya kupoteza bikra kabla ya ndoa au kuzaa kabla ya ndoa. Sasa unakua unafanya Nini Kama mtu unahofia kuchepuka Ili usizae haramu badala yake unatindua Malinda ya watoto wakiume wa madrasa Ili kutimiza haja zako? Na kanda zenye watu Kama nyinyi magasho wengi kwasababu ya hofu ya kuzaa nje kwahiyo mnaona Bora kujipooza huko .
Yaani umeshindwa kutambua ni DINI ipi inaongoza kwa kutinduana marinda na kufunga ndoa za jinsia moja..?
Wewe ni taahira.
Baki na msimamo mmoja, na usipendelee upande wowote wa Dini.
Kama unaamini Dini ni upuuzi, haina haja ya kuponda dini moja , ponda dini zote.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app