hacha tufuate dini yetu ya uwisilamu na wewe komaa nauo ukirito wakokwani wakati mnakatikiana hamkujua kama atapatikana mtoto? maaneenerr huu uzi umekaa kibaguzi sana sikubaliani na mashala ya majina sijui ubini wala nini mtu akizaliwa kazaliwa full stop haya mambo ya kulazimishana sijui ukoo sijui kabila sijui ubini ni uwendawazimu tu. kwani hata akiamua kujiiya mti ama jiwe si ni binadamu tu? tutumie akili sio kila kitu cha kushobokea by the way haya madini tumeletewa tu
kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote zaidi ya binadamu wenye roho mbaya kusingizia Mungu. Kila kitu Cha ovyo hufanyika Kwa kigezo Cha Mungu, Mauaji ya kujitoa mhanga(MUNGU).
we ni kiazi mviringo uwisilamu ndio nini na ukirito ndio mnyama gani we hujielewi weye yani mtoto umkojoe mwenyewe uambiwe asitumie jina lako na bado unasema siujui uwisilamu , huna akili wewehacha tufuate dini yetu ya uwisilamu na wewe komaa nauo ukirito wako
Ukitaka kujuwa dini ni Utapeli waulize pesa imeumbwa na Mungu au binadamu?Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.
Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.
Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.
Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.
Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.
Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.
Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.
Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.
Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.
Ni hayo Tu!
Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Religion is Mankind opium.we ni kiazi mviringo uwisilamu ndio nini na ukirito ndio mnyama gani we hujielewi weye yani mtoto umkojoe mwenyewe uambiwe asitumie jina lako na bado unasema siujui uwisilamu , huna akili wewe
Inawezekana wewe ndio hujanielewa. Soma tenaHujalelewa mada,rudia kusoma tena
Ushasema ujambazi,ni vitu viwili tofauti kabisa,ni jinai.Kwahiyo kujaaliwa na Mwenyezi Mungu ndio upo sahihi?
Unazungumziaje majambazi na wauza unga mbona wanafanikiwa sana je wamejaaliwa na Mungu au wanapendwa na Mungu?
Huyo mungu anayekwambia umkatae mtoto wako uliyemzaa ni Mungu wa kijinga.kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?
Dini zimekuchanganya akiliPole Sana mkuu ndio Hali halisi kwa Sisi ambao tutafuata misingi ya Dini zetu
Biblia haijanipa hayo masharti ya kipumbavu ya kumtenga mtoto wa damu yangu asiye na hatia.kwani wewe mungu wako anasemaje kuhusu hilo? biblia inasema hivio tueleze huyo mungu wako wa chooni anasemaje kuhusu hilo?
Mtoto wangu ni wangu Mbingu na ardhi vipo kabla ya uislamu na ukristo, Africa tuna Mungu na tumekuwa tukisali Mungu tangu enzi, mtoto wangu ni mtoto wanguKwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.
Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.
Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.
Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.
Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.
Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.
Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.
Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.
Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.
Ni hayo Tu!
Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
AiseeeIla Dini sometimes inaleta UPUMBAVU Sana... yaani inakufanya unakuwa mjinga
Yaani mtoto wako mwenyewe,Damu yako, unakataa asichukue jina lako (Kwa kifupi Unamkataa), eti kwa sababu unamuamini Alah... Huu ni Upumbavu wa dini.
Huyu Alah wenu kwenye Hili Alichemka vibaya sana.
Kwahiyo wadiz unataka kusema kuna Mungu wa Africa na Ulaya?Mtoto wangu ni wangu Mbingu na ardhi vipo kabla ya uislamu na ukristo, Africa tuna Mungu na tumekuwa tukisali Mungu tangu enzi, mtoto wangu ni mtoto wangu